Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika.
Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za Umma.
Tunaomba tamko la serikali.
Pia soma: Wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda