Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Na ww ukiona kuna kitu kimekaa hapo of sini kwako pita nacho maana mama hana hata habari na mambo hayoHili ni suala nyeti mno.
Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo.
Wiki tatu Sasa zimepita lakini tukio hili Kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya hospitali za Umma.
Tunaomba tamko la serikali.
Kumbuka hii Mali ya umma iliyopotea ni shilling milioni 500,000,000 na sio shilling 500. Kwanini Kuna ukimya kiasi hiki.Na ww ukiona kuna kitu kimekaa hapo of sini kwako pita nacho maana mama hana hata habari na mambo hayo
Hili linapanda utamaduni wa Wizi. Hadi leo serikali ipo kimya.Na ww ukiona kuna kitu kimekaa hapo of sini kwako pita nacho maana mama hana hata habari na mambo hayo
Hata watuhumiwa wakifikishwa mahakamani tusione?Unataka ulete utaratib mpya mkuu, tangu lin mnapewa mrejesho wa wizi, ubadhirifu na ufisadi?
Muone ili mtujue? Kikubwa fisadi na mbadhirifu hatakiw aonekane kashtakiwa!! Huo sio utaratib wetu!! OverHata watuhumiwa wakifikishwa mahakamani tusione?
ila mwizi wa kuku?Muone ili mtujue? Kikubwa fisadi na mbadhirifu hatakiw aonekane kashtakiwa!! Huo sio utaratib wetu!! Over
Wakuku na ajulikane nchi nzima na afungwe milele!!ila mwizi wa kuku?
Wafungwe kabisa, kodi zetu zinahujumiwa na wahuniWakuku na ajulikane nchi nzima na afungwe milele!!