said rutemba
New Member
- Jan 27, 2015
- 3
- 3
Hakika mama anaupiga mwingi, hadi kwa wazabuni wa TEMESA amewafikia!Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.
Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai.
Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma Dodoma makao makuu kwa mapitio na malipo ila mpaka leo hii hakuna.
Hii hali ni kurudishana nyuma kiuchumi. Binafsi ninadai Tsh milionu 13.4M toka 2017 na tupo wengi ambao tunazungushwa.
Naomba kupitia jukwaa hili basi wizara husika itusaidie maana hatuna pa kulalamikia tena.
Mtaalam umetoa hoja umekaa kimya,njoo utoe taarifa za kutosha kuhusiana na changamoto zako...jina la kampuni .......je ni wewe pekeako aku kunawengine wamekumbwa na changamoto kama yako...Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.
Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai.
Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma Dodoma makao makuu kwa mapitio na malipo ila mpaka leo hii hakuna.
Hii hali ni kurudishana nyuma kiuchumi. Binafsi ninadai Tsh milionu 13.4M toka 2017 na tupo wengi ambao tunazungushwa.
Naomba kupitia jukwaa hili basi wizara husika itusaidie maana hatuna pa kulalamikia tena.
Sijapata ujumbe wako mkuuMkuu nimekucheki private haujibu?
Moja ya sehemu zenye ubadhirifu na wizi mkubwa nje ya Wizara ya fedha ni hiyo taasisi.Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.