Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Yatamkuta ya DAS wa Kisarawe wakati wa Joke TeaAu hata U"HR" wa Wilaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatamkuta ya DAS wa Kisarawe wakati wa Joke TeaAu hata U"HR" wa Wilaya
Pwani nayo ikijaa Tanga iitwe Dar ili watu waende.
Hakuna sehemu nimesema Dar imejaa hoja yangu ya kuongeza ukubwa siyo kwa sababu eti Dar imejaa, Dar bado haijajaa hoja yangu ni Dar ndio mkoa mdogo kuliko yote, yet ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko yote hii sidhani kama ni sawaPwani pakijaa na Morogoro iitwe Dar ili watu waamie
Dah Nimecheka sana!Yatamkuta ya DAS wa Kisarawe wakati wa Joke Tea
Absolutely mkuu trust me vijana wengi siyo kwamba hawataki kujenga Pwani eti sababu ni mapori bali sababu ni nje ya Dar, wewe unaweza kuwa hupapendi tu bila kujali panaitwaje ila kuna watu kwao jina la mahali anapoishi matters the most, hata hivyo hoja yangu ya Dar kuunganishwa na Pwani ni kwa sababu Dar ni mkoa mdogo kuliko yote yet ndio the most populousKwahio unaamini kabisa Mkuranga kukiitwa Dar tutaenda kuishi huko?
Soon Dar itaungana na hio Pwani kama bado hazijaungana,maanake Dar na Bagamoyo zishaungaba,Kibaha na Dar zishaungana huku kusini sijapita siku nyingiAbsolutely mkuu trust me vijana wengi siyo kwamba hawataki kujenga Pwani eti sababu ni mapori bali sababu ni nje ya Dar, wewe unaweza kuwa hupapendi tu bila kujali panaitwaje ila kuna watu kwao jina la mahali anapoishi matters the most, hata hivyo hoja yangu ya Dar kuunganishwa na Pwani ni kwa sababu Dar ni mkoa mdogo kuliko yote yet ndio the most populous
Wazo lako limekuja wakati mwafaka sana hata mm nilikuwaga nawaza hivihivo ingawa kuna baadhi ya wilaya ama kata zipelekwe mikoa ya jirani kwa mfano baadhi ya kata za mkuranga ziende mkoa wa lindi na baadhi za kata za wilaya ya bagamoyo ziende tanga chalinze ziende morogoro na wilaya nzima ya Mafia iende lindi au ipimwe urefu wa mzunguko wa kilomita sitini ndio iwe mpaka wa mkoa wa DaresalaamHeri ya mwaka mpya wakuu
Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na kuharibu mazingira kwa vizazi vijavyo ni upotoshaji kwa sababu Tanzania bado hakuna population ya kumaliza mapori yote tuliyonayo
Ni ajabu kwamba mkoa mdogo kijiografia kuliko yote nchini ndio mkoa mkubwa kidemografia kuliko yote nchini, ukiuliza sababu hakuna sababu ya maana utapewa zaidi ya watu wengi hasa vijana, kutaka waonekane wanaishi Dar hata kama maisha yao hayaeleweki na huko mikoani wameona fursa
Juzi nilikuwa nasikiliza interview ya Mwijaku alipokuwa anawajibu watu wanaosema kwamba kajenga ghorofa lake kwenye kaeneo kadogo, akasema alikuwa na eneo karibu ekari mbili huko Bagamoyo, ila hakutaka kujenga huko sababu hati ya nyumba yake ingesoma Pwani na yeye anataka isome Dar
Sasa nimemtolea mfano huyo sababu ni maarufu lakini kiuhalisia hizi ndio akili za vijana wengi walioko kwenye hili jiji, wapo wengi sana ninaowafahamu ambao nao wana mawazo kama haya ya kutaka kuonekana wanaishi Dar tu na si sehemu nyingine, sasa tukumbuke idadi ya watu Dar inazidi kuongezeka siku hadi siku ila ukubwa wa mkoa hauongezeki
Kwa mtazamo wangu naona suluhisho pekee ni kuunganisha hii mikoa miwili Pwani yote nayo iitwe Dar, kuhusu wilaya kuwa nyingi sioni kama ni tatizo maana hata mkoa wa Tanga una wilaya nyingi kulinganisha na idadi ya wakazi wake so sioni kama ni tatizo kufanya hivyo hata kwa Dar, ambao ndio mkoa wenye idadi kubwa ya wakazi na kama wakiona utakuwa na wilaya nyingi basi wanaweza waka merge baadhi ya wilaya
Sasa hivi miji inakuwa kuelekea Bagamoyo, Kisarawe, Chalinze na Mkuranga kwa maana kwamba watu wameanza kuchangamkia ardhi huko na wengine wameanza kujenga, lakini ukuaji wake bado hauna kasi kulinganisha na idadi ya watu wanaohamia Dar kila siku, hakuna haja ya kuwa na mkoa specific unaoitwa Pwani wakati hata Dar, Tanga, Lindi na Mtwara nayo ni mikoa ya Pwani
Hapa simaanishi miji ikuwe makazi ya watu tu bali hata huduma za kijamii kama ni ofisi, masoko, shule, hospitali, hoteli, malls, bars, restaurants na huduma nyinginezo, lakini hizo asilimia kubwa hufuata makazi ya watu mtu hawezi kufungua tu biashara yake sehemu ambayo hana uhakika wa wateja wa kutosha, kwahiyo ni lazima watu waanze kwanza kuhamia ndipo huduma zitafuata, sasa kwa akili hizi za watu kutaka kuonekana wanaishi Dar tusitegemee Pwani itakuwa haraka
Kama ni ushamba wa bahari mbona hata Bagamoyo na Mkuranga bahari ipo ila bado kuna mapori, nashangaa baadhi ya watu wanataka mikoa izidi kugawanywa wakati hii iliyopo tu maendeleo yametushinda, haya ya kusema eti kawilaya kakishakuwa na tuhuduma fulani twa kijamii hata kama ni tubovu basi kanafaa kuwa mkoa unaojitegemea sioni kama yanasaidia
Kuna mahali nilisoma eti na wakazi wa Masasi nao wanataka hiyo wilaya iwe mkoa eti kisa tu biashara ya korosho yani kuna mambo yanachekesha kwa kweli, huo mkoa wa Mtwara tu bado hamjamalizana nao mnataka muanzishe mkoa wa Masasi tena, halafu hata kijiografia Mtwara siyo mkoa mkubwa kihivyo wa kuhitaji kugawanywa kuna mikoa mikubwa kama Morogoro, Tabora, Lindi nk ambayo ndio inastahili kugawanywa
Hata hivyo hii gawanya gawanya ya mikoa na wilaya inazidi kuongeza idadi ya makabila tu maana nimekuja kugundua hii nchi ina makabila zaidi ya haya tunayoyajua, mengine unakuta ni mtu tu na mkewe na wanaye walihamia pori fulani wakakuta hapana watu wakaanzisha kijiji na kikabila chao hatimaye kikakuwa na kupata watu basi nao wanataka watambulike, mara makabila mengine unasikia eti ni muunganiko wa kabila fulani na kabila fulani sasa hayo yote ya nini ikiwa vitu muhimu kama maji, umeme, afya, elimu, uchumi na teknolojia vinatushinda na ndio maana Nyerere alipiga marufuku mambo ya kuendekeza makabila
Kwahiyo maoni yangu ni kwamba badala ya kuendelea kugawanya mikoa tuangalie kama kuna mikoa ambayo inaweza kuunganishwa iunganishwe, na kwa sasa nilikuwa napendekeza tuanze na Dar na Pwani tubaki na mikoa 30 tu tupambane kuiendeleza kwanza hiyo, na siyo kuwa na mikoa mingi ambayo imejaa mapori tu na huduma mbovu za kijamii pamoja na maendeleo duni
Kwani huko unakoishi,miaka 20 iliyopita kulikuwa na makazi? We utahama tu subiri. Na utaenda Kibiti wala si MkurangaKwahio unaamini kabisa Mkuranga kukiitwa Dar tutaenda kuishi huko?
Kwani ilivyo hivi sasa inakuzuwia nini kuishi Pwani ukafanya kazi Dar au Kuishi Dar ukafanya kazi Pwani?Heri ya mwaka mpya wakuu

Pendekezo lake sio kwa maslahi binafsi ni kwa maslahi ya maendeleo ya taifaKwani ilivyo hivi sasa inakuzuwia nini kuishi Pwani ukafanya kazi Dar au Kuishi Dar ukafanya kazi Pwani?
Mbona wapo wengi sana wanafanya hivyo?
Dar yote ilikuwa Mkoa wa Pwani mpaka ilivyokatwa na kuwa mkoa wa pekee.
Ndo ile daily watu wataendelea kuuziana viwanja katika makaburi, si wataka uishi dar banaUjinga tu et,, waunge pwan iwe dar kisa tu watu hawataki kuonekana wapo pwan Bali dar,, tena mamlaka washike hapo hapo hakuna kuunganisha mkoa et uitwe dar kisa watu wanataka wasomeke dar,,, hahahahaha Hawa ni wanadaslam ujinga mtupu,,, goja ijae na walundikane tu,, watanunua tu pwan automatic,, bila kulazimishwa hutak nunua kiwanja juu ya nyumba Jenga,,, pia ni ujinga wa darasa la kwanza Yani unalundikana kisa jina darslam duuu,,,,, ujinga hautaisha bongo..Cha msing nikuomba miundombinu iboleshwe huko kama maji, barabara,,hospitality na vtu vingne vya msingi ila sio jina dar,,
Aisee! Miaka 20 tu, how old are you?Kwani huko unakoishi,miaka 20 iliyopita kulikuwa na makazi? We utahama tu subiri. Na utaenda Kibiti wala si Mkuranga