Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,168
Habari wanabodi,
Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?
Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??
This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.
Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.
Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT