Serikali iwaangalie broiler breeders wanaoshindana na wafugaji wadogo

Kuweka katazo na usimamizi maana wanaofanya hivyo si breeders wote na wanaofanya wanafahamika.Akikiuka katazo basi anyanganywe leseni ya kuwa breeder ili awe mfugaji na yeye.
Kuweka katazo huko sio kudhibiti?
 
Mnalilia Serikal iingilie Masuala ya Biashara

Ikiingilia Kwa namna ilivyoingilia Kwenye Korosho mnapiga Kelele
Acha kihere here mkuu!
Kwahiyo serikali ikiingilia ikakosea namna ya kufanya hiyo operations watu wakae kimya?
 
Upo. Sahihi mkuu ni sawana. Umkute kampuni ya cocacola nayo imefungua duka inauza soda za cocacola
 
ni kweli Mazingira ya kibiashara hayawezi kuwa sawa kati ya wafugaji wadogo na hao breeders maana bei ya kifaranga wanapanga wao na bei ya chakula cha kuku wanapanga wao na kipo bei juu, hivyo wanamlazimisha mfugaji mdogo auze kwa bei ya juu ili afidie gharama za uzalishaji au apunguze bei na apate hasara wakati wao hizo gharama za Vifaranga na chakula wanajiwekea chini na kitakachofuata baada ya hapo watahodhi soko. Hivyo ni jukumu Fair Competition Comission kukagua kwanza gharama halisi za chakula na vifaranga wanavyowauzia wafugaji wadogo kama ni haki nakuweka utaratibu utakosimamia haki katika uzalishaji,ufugaji na masoko ya kuku wa broiler na kudhibiti mianya itakayoweza kuwanufaisha breeders na kuwakomoa wafugaji wadogo ambao ndio wengi.
 
Hao wauza vifaranga wakizuiwa wasiuze nyie wafugaji wadogo je mna uwezo wa kulilisha soko..mi naaminikila mtu aplay part yake hata ukizuia breeder haimaanishi itakomesha large scale breeders thats obvious...na hata kama una hao kuku 2000 unauhakika unaweza cover hitaji la watanzania wote.....kwa sheria za kibiashara wewe bado unasoko lako ambalo am sure breeder mkubwa hawezi lifikia...
 
Thread ya hovyo saana kuwahi kuletwa hapa JF
 
Nakuelewa sana mtoa mada, hasa kwa sisi wafugaji wadogo tunaotoa kuku 500 mpaka 2000, Inauma zaidi pale unapotegemea kuwatoa kuku...unakutana na mafuriko ya kuku sokoni, Najua kwa mfumo wa soko huria ni vigumu kucontrol wafugaji wakubwa, ila sisi kama wafugaji nadhani twende extra miles kufikisha bidhaa kwa mlaji moja kwa moja.
Japo watumiaji wengi hasa wa kwenye ma bar, na hotels huwa hawapendi kuchukua kuku kwa mfugaji direct kwa kuhofia wafugaji wengi hatuna consistency...leo una kuku, kesho huna, Mwisho huwapa tenda madalali ambao nao humlalia sana mfugaji.
Tatizo litaisha kama tukiweza ku supply kwa mlaji direct...na hii itawezekana kama tutakuwa na ka umoja, na kutafuta masoko ya pamoja, na kumaintain uwepo wa bidhaa bora na kwa muda wote.
 
Habari wanabodi,

Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?

Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??

This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.

Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.

Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT
mkuu ungeenda ofisini kwao ingekuwa vyema zaidi
 
Nimekuelewa kiongozi kwa hoja zako.
Ila nakumbuka mwalimu Nyerere aliwahi kusema kua kujitenga kwa wa Zanzibari basi ndani yao watajitokeza wa zanzibala.
Wakati wanafunga mipaka mlishangilia sana kua kuku wa nje ya TZ marufuku kuingizwa hapa. Mkasahau kua kuna siku nyinyi kwa nyinyi mtalana tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni mfugaji mdogo so naelewa sana unachomaanisha mkuu.. . Lakini tuko kwemye ulimwengu wa mbwa kala mbwa.... hata serikali ikiingilia bado tu utakuwa na changamoto nyingi.. cha msingi ni kukomaa na wewe uingie kwenye ligi ya wakubwa...
Achana na mambo ya kufuga kuku buku weka target upige hata 2000 au 3000 lakino make sure una system nzuri ya kuuza kabla hujaingiza kuku bandanj....
Kufuga kuku wachache ni stress tu
 
Habari wanabodi,

Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?

Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??

This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.

Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.

Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT
Think bigger bro, Kama mimi ni kampuni x na ukanizuia nisiuze kuku kama wewe, Kesho naenda kufungua kampuni nyingine alafu natumia hiyo kuuza hao kuku..hiyo itakuwa fair au sio? The most adaptive wins always! na its non sense kama kumwomba referee kila ukifungwa magoli mawili lihesabiwe moja kwa sababu timu unayocheza nayo ina wachezaji wakubwa!
ki kweli inaua biashara na hapo ndo innovation inapotakiwa kutumika kushindana nao.
 
ni kweli Mazingira ya kibiashara hayawezi kuwa sawa kati ya wafugaji wadogo na hao breeders maana bei ya kifaranga wanapanga wao na bei ya chakula cha kuku wanapanga wao na kipo bei juu, hivyo wanamlazimisha mfugaji mdogo auze kwa bei ya juu ili afidie gharama za uzalishaji au apunguze bei na apate hasara wakati wao hizo gharama za Vifaranga na chakula wanajiwekea chini na kitakachofuata baada ya hapo watahodhi soko. Hivyo ni jukumu Fair Competition Comission kukagua kwanza gharama halisi za chakula na vifaranga wanavyowauzia wafugaji wadogo kama ni haki nakuweka utaratibu utakosimamia haki katika uzalishaji,ufugaji na masoko ya kuku wa broiler na kudhibiti mianya itakayoweza kuwanufaisha breeders na kuwakomoa wafugaji wadogo ambao ndio wengi.

Ndugu ulichoongea ni sahihi kabisa. Wale breeder wakubwa inawapasa kuchagua moja aidha wabaki kwenye kuuza chakula chao na vifaranga au waingie kwenye ufugaji moja moja. Maana ukifuatilia kwa miezi 2 hii walichokutana nacho wafugaji wengi ni kilio kitupu. Bei ya sokoni haiendani na gharama ya kuoperate biashara
 
Habari wanabodi,

Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?

Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??

This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.

Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.

Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT

Yule jamaa wa Mbezi serikali inabidi imtupie jicho vinginevyo biashara ya kuuza kuku wake awe ana export nje. Kuna jamaa yangu mmoja na yeye ni mfugaji na aliniambia alipoteza mteja wake kutokana na kuingiliwa soko lake na huyo breeder muuza vifaranga na chakula
 
Kuna mijitu inaropoka matapishi ilihali hata Kuku wa nyama alivyo hawamjui. Stupid Kabisa!!
 
Back
Top Bottom