Kuweka katazo huko sio kudhibiti?Kuweka katazo na usimamizi maana wanaofanya hivyo si breeders wote na wanaofanya wanafahamika.Akikiuka katazo basi anyanganywe leseni ya kuwa breeder ili awe mfugaji na yeye.
Acha kihere here mkuu!Mnalilia Serikal iingilie Masuala ya Biashara
Ikiingilia Kwa namna ilivyoingilia Kwenye Korosho mnapiga Kelele
Free market must prevailAcha kihere here mkuu!
Kwahiyo serikali ikiingilia ikakosea namna ya kufanya hiyo operations watu wakae kimya?
mkuu ungeenda ofisini kwao ingekuwa vyema zaidiHabari wanabodi,
Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?
Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??
This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.
Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.
Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT
Think bigger bro, Kama mimi ni kampuni x na ukanizuia nisiuze kuku kama wewe, Kesho naenda kufungua kampuni nyingine alafu natumia hiyo kuuza hao kuku..hiyo itakuwa fair au sio? The most adaptive wins always! na its non sense kama kumwomba referee kila ukifungwa magoli mawili lihesabiwe moja kwa sababu timu unayocheza nayo ina wachezaji wakubwa!Habari wanabodi,
Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?
Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??
This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.
Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.
Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT
ni kweli Mazingira ya kibiashara hayawezi kuwa sawa kati ya wafugaji wadogo na hao breeders maana bei ya kifaranga wanapanga wao na bei ya chakula cha kuku wanapanga wao na kipo bei juu, hivyo wanamlazimisha mfugaji mdogo auze kwa bei ya juu ili afidie gharama za uzalishaji au apunguze bei na apate hasara wakati wao hizo gharama za Vifaranga na chakula wanajiwekea chini na kitakachofuata baada ya hapo watahodhi soko. Hivyo ni jukumu Fair Competition Comission kukagua kwanza gharama halisi za chakula na vifaranga wanavyowauzia wafugaji wadogo kama ni haki nakuweka utaratibu utakosimamia haki katika uzalishaji,ufugaji na masoko ya kuku wa broiler na kudhibiti mianya itakayoweza kuwanufaisha breeders na kuwakomoa wafugaji wadogo ambao ndio wengi.
Habari wanabodi,
Ni wakati serikali kupitia wizara ya Mifugo na Uvuvi kuangalia mienendo ya breeders wa kuku wa nyama wanavyoshindana na wafugaji wadogo kwenye soko. Nadhani ni wakati wa vyombo vya serikali mfano hawa watu wa fair competition kuingilia kati suala hili kwa manufaa ya wafugaji wadogo.
Kwanni nasema hili?
Hebu chukulia mathalani, mimi mfugaji nanunua vifaranga kutoka Kampuni X, nanunua pia chakula kutoka kampuni X, nawakuza kuku zangu nikitegemea kuuza sokoni broiler baada ya wiki tano. Ajabu unapokwenda sokoni unakutana na Kampuni X, uliyonunua vifaranga wa siku moja kwake pamoja na chakula cha kuku naye kaleta Kuku zake aliofuga mwenyewe kwenye soko lile lie. Hiki ni nini??
This is unfair competition, ni wazi kampuni X lazama atauza Kuku wake kwa bei ya chini kwa sababu moja economies of scale, anafuga kuku wengi kwa mkupuo hivyo gharama kwa kila kuku mmoja ipo chini. Pili, vifaranga ni wa kwake, hata akijiuzia kumeet normal profit kwa kila kifaranga Tshs. 700, still bado hatuwezani naye kwenye soko ilhali kifaranga tunanunua kwake kwa Tshs. 1600. Tatu chakula anatengeneza mwenyewe, hivyo hata ww mfugaji ukitengeneza chakula chako still atakupiga gap kwenye vifaranga.
Ni wakati breeders wajikite zaidi kwenye kutotolesha vifaranga badala ya kuingia kwenye kuuza Kuku na kushindana na wafugaji wadogo ambao hao hao ni wateja wao kwenye vifaranga na chakula cha kuku. Ni wakati wa serikali kulifumbulia macho suala hili, kama Kampuni X watahitaji kufuga kwa ajili ya nyama, basi waangalie zaidi Export Market na sio tunakutana nao mara Shekilango, Kisutu, Manzese wamekuwa wakiaribu mfumo mzima wa soko na kusababisha mitaji ya wafugaji kukata na hasara zisizovumilika.
Cc
Ministry of livestock & Fisheries
TPBA
Fair Competition
TABROFA
PAT
shukrani mkuu kwa kunena vemaWachache wanakuelewa mkuu..
Hii sector inadeal n'a biological system kwaiyo kufananishia n'a kinabakhresa n'a chapati...
Sent using Jamii Forums mobile app