Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano.
Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu ameajiriwa serikalini ni vema akapewa hela yake kwa vile mkataba wake wa kazi ulishaisha na ivo hakuna sababu ya kumwambia asuburi hadi umri wa kustaafu.