Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters
SIYO wote wanataka kuhamia idara zingine, chamsingi Ni kuiomba serikali iwape hata motisha kidogo Kama ilivyo kwenye idara zingine.Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
Hawataki mkaribiane nao kwa kipato ili muendelee kuwanyenyekeaOmbi: TUNAOMBA serikali walau iweke utaratibu wa kuwapa hata Daraja moja la mshahara Hawa walimu wenye Shahada ya Pili Mara tu baada ya kumaliza masomo yao. Hii itapunguza kuhangaika kutafuta kujiunga na idara zingine kwa lengo la kupata kipato kinachoendana na taaluma Yao.
Soma shahada ya pili ili utafute cheo cha madaraka ukisubiri daraja utakaa sanaNi miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa.
Ombi: TUNAOMBA serikali walau iweke utaratibu wa kuwapa hata Daraja moja la mshahara Hawa walimu wenye Shahada ya Pili Mara tu baada ya kumaliza masomo yao. Hii itapunguza kuhangaika kutafuta kujiunga na idara zingine kwa lengo la kupata kipato kinachoendana na taaluma Yao.
Najua Kuna wahusika humu naomba kuwasilisha.
😳SERIKALI IWASHUSHE WALIMU WANAOFUNDISHA SECONDARY WAKAFUNDISHE CHEKECHEA
Shida zipo nyingi zikitambuliwa itakuwa vurugu mechiIla ipo siku masters ya ualimu itambuliwe tu kwasabu idara zingine zinaitambua, tuendelee kuomba serikali. Kwasabu Si kila mtu anaweza kwenda kuomba kazi sehem nyngne inje ya ualimu.
KWELI MKUU😄😄Mbona sawa tu chamsingi serikali iitambue masters degree pale itakapoona inafaa