Tatizo la Walimu na watumishi wengi uelewa wa mambo ni zero kwa kuwa watu wamusomi na kufatilia mambo.Mtumishi yoyote wa Serikali kutokana na miunfo iliyopo Elimu ya masters ni added advantage
Hata hivyo,bado Serikali imeweka motisha kwa mtu ambaye ana degree hiyo ya 2 ambapo ukimaliza na kuwakilisha cheti chako kwa mwajili unaongezewa nyongeza ya kuanzia 50,000 kwa mwezi approximately 600,000 kwa mwaka-kiasi hicho kinategemeana na ngazi ya mshahara wako.
Nawasihi sana,ukiwa kwenye field yako jitahidi usome na kupata uelewa wa vitu,someni miongozo ya kiutumishi na nyaraka zingine vitu vyote vimefafanuliwa humo.