D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Sijui idara yenu Sisi idara yetu Kama mko daraja moja mshahara ni uniform ila pesa ya elimu inaongezeka kulingana na elimu ya mtu.Kwani watumishi wote wanalipwa mshahara uniform au sjaelewa unamaanisha nn
Hebu soma tena ulichoandika. Unajichanganya sana.Mnachokosea na ambacho hakiwezi kuwapandisha madaraja au mshahara ni kwenda au kusomea Masters ya kozi tofauti na masuala ya Ualimu, hivyo unakosa muendelezo. Iko hivi,waalimu wengi niliowahi kuwaona wanakimbilia kusoma kozi za Utawala na masuala ya Utumishi jambo ambalo haliwaongezei chochote kwenye ukuaji wa kitaaluma ya Ualimu wao labda tu pale watakapopata nafasi za uteuzi za kiuongozi kama vile Mkuu wa shule au Afisa Elimu kwenye ngazi ya Halmashauri.
SHUKRAN KWA UFAFANUZI MKUUšš¼Sijui idara yenu Sisi idara yetu Kama mko daraja moja mshahara ni uniform ila pesa ya elimu inaongezeka kulingana na elimu ya mtu.
Mfano mshahara 1000 wote mtalipwa 1000 ila mwenye diploma atalipwa 1000+allowance ya diploma mwenye degree pia hivyo hivyo 1000+allowance ya degree..
Kwahyo mshahara unakua mmoja ila allowance ndio inaongezeka ya elimu(certificate hana allowance ya elimu)
Sio kweli Dog.Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
hivi unavyojua mambo ni tofauti na uhalisia.Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
Kwenye Ualimu kama umeanza na certificate primary hata ukipata masters utaendelea baki primary, labda upate usimamizi au kazi halmashauriNnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
Duh[emoji24]Kwenye Ualimu kama umeanza na certificate primary hata ukipata masters utaendelea baki primary, labda upate usimamizi au kazi halmashauri
Kubaki kufundsha shule ya msingi syo shida, shida Ni pale unapokuwa na masters ambayo haitambuliki kimuundo na Wala haina nyongeza ya mshahara. Mwl kuwa na masters/PhD ni anasaš¤£, tunaposema kipaumbele Ni elimu Basi iwe na kwa Elimu za walimu piaKwenye Ualimu kama umeanza na certificate primary hata ukipata masters utaendelea baki primary, labda upate usimamizi au kazi halmashauri
Sasa uwe na masters halafu uendelee kufundisha shule ya msingi, sasa kazi ya masters ni nini hapo?Kubaki kufundsha shule ya msingi syo shida, shida Ni pale unapokuwa na masters ambayo haitambuliki kimuundo na Wala haina nyongeza ya mshahara. Mwl kuwa na masters/PhD ni anasa[emoji1787], tunaposema kipaumbele Ni elimu Basi iwe na kwa Elimu za walimu pia
Siku hizi mpaka hao wa masters wapo Primary mkuu.Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
Hivi mwalimu unaenda kusoma masters, ama phd ili iweje, inasaidia kitu gani serikali maana sifa ya mwisho kwa mwalimu ni first degree. Na huwa hakuna mshara wa mwalimu wa masters ila kuna posho tu. Mfano ukiwa headmaster unalipwa poshoNi miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa.
Ombi: TUNAOMBA serikali walau iweke utaratibu wa kuwapa hata Daraja moja la mshahara Hawa walimu wenye Shahada ya Pili Mara tu baada ya kumaliza masomo yao. Hii itapunguza kuhangaika kutafuta kujiunga na idara zingine kwa lengo la kupata kipato kinachoendana na taaluma Yao.
Najua Kuna wahusika humu naomba kuwasilisha.
Aisee we jamaa kumbe kupambanua Mambo sifuri kabisa, unapimaje tija na hyo production, unahoja hopeles kabisaš¤£Sasa uwe na masters halafu uendelee kufundisha shule ya msingi, sasa kazi ya masters ni nini hapo?
Watu hawalipwi kwa level ya elimu tu wanalipwa na production/tija wanayoongeza.