Kwani mwl mwenye degree anayefundisha a e I o u analipwa mshahara tofauti na mwl mwenye degree hyo hyo anayefundisha form 5? Kwahyo wale walimu waliokuwa wanafundsha sek wakahamishiwa shule za msng salary ilipungua kwasabu wameanza kuwa na impact ndogo ya ufundshaji?Jamaa yuko sahihi ila unampinga bure tu au pengine hujamwelewa logic yake.
Yaani anamaanisha hivi kwa mfano wewe ni mwalimu wa primary kisha ukajiendeleza hadi Masters lakini bado unaendelea kufundisha watoto"a e i o u" kisha unataka ulipwe tofauti na walimu wengine.
Je hapo Masters yako imeleta impact gani?
Kama hakuna motisha Kwanini wanasoma vitu visivyokua na Faida kwao?Ni miaka mingi Sasa walimu Hawa wenye Shahada ya Pili ya ualimu na wale wenye PhD ya ualimu, wamekuwa hawapati ongezeko lolote la mshahara mara baada ya kumaliza elimu zao za juu, tofauti na ilivyo kwenye idara zingine Kama afya nk. Ambapo Shahada ya Pili huwa inatambuliwa.
Ombi: TUNAOMBA serikali walau iweke utaratibu wa kuwapa hata Daraja moja la mshahara Hawa walimu wenye Shahada ya Pili Mara tu baada ya kumaliza masomo yao. Hii itapunguza kuhangaika kutafuta kujiunga na idara zingine kwa lengo la kupata kipato kinachoendana na taaluma Yao.
Najua Kuna wahusika humu naomba kuwasilisha.
Unamsihi Nani Sasa? Uzi umeuelewa vzur lakini umeona kunasehemu imeandikwa motisha. Nani amekwambia anataka motisha? Mnakuja mnapalamia nyuzi hata kusoma hamzisomi vzuri shida kweli. Kwanza Acha upumbavu soma vzuri uziTatizo la Walimu na watumishi wengi uelewa wa mambo ni zero kwa kuwa watu wamusomi na kufatilia mambo.Mtumishi yoyote wa Serikali kutokana na miunfo iliyopo Elimu ya masters ni added advantage
Hata hivyo,bado Serikali imeweka motisha kwa mtu ambaye ana degree hiyo ya 2 ambapo ukimaliza na kuwakilisha cheti chako kwa mwajili unaongezewa nyongeza ya kuanzia 50,000 kwa mwezi approximately 600,000 kwa mwaka-kiasi hicho kinategemeana na ngazi ya mshahara wako.
Nawasihi sana,ukiwa kwenye field yako jitahidi usome na kupata uelewa wa vitu,someni miongozo ya kiutumishi na nyaraka zingine vitu vyote vimefafanuliwa humo.
Kwenye afya Dr. Mwenye masters anaitwa Dr bingwa. Upo sahihi miundo ya kiutumishi ya walimu inaishia degree.
Utalala na kuamkaUtazirudisha wewe
Kamanda mbona mimi nina wana tuliua wote A level, wakaenda degreebya ualimu na wanafundisha O LEVEL!!? 🤔🤔Nnachojua,
Mwalimu mwenye
Certificate, anafundisha primary
Diploma, anafundisha olevel
Degree, anafundisha advance
Masters-anafundisha vyuoni
Sasa Kama hutaki kuhama idara,
Unataka ulipwe mshahara wa masters ili ukae bure TU?
Unamawazo ya kiwalimu walimu sana ndo maana mnaambiwa mnaakili za kitoto, Kama umeshindwa kusoma wewe tulia acha kuangalia walioweza kusoma.Utalala na kuamka
Utakuta zero
Kusoma usome ww afu uanze kulia lia mara serikali ikupe motisha... Mnasoma kutafta sifa kuwa ana Masters yule ana PhD yule . Tulia.