Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya.

View: https://x.com/i/status/2037994015094714505

My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi.

Wazazi tujitahidi kupambana vipato Kwa mustakabali wa familia zetu na tuwafundishe Watoto kutafuta maisha Kwa njia za halali na Zenye maadili.

Tatizo wanapenda maisha mazuri yenye mserereko.
 
Upambane wanao wasitumbukie huko,shida hapo ni umaskini kwenye familia na kutowafundisha kazi Kwa kuwadekeza na kuwapa Kila wanachokitaka.
Kwakweli kuna watoto wananyooshwa vizuri makwao na wakitoka hapo wanajenga tamaa na tabia mbovu!
 
Yaani wameona sisi wanaume wa Tanzania hatuna chochote mpaka waende kuwauzia watu masikini kabisa wa Thailand ?

Aisee hili ningekuwa kwenye nafasi ya maamuzi ya balozi ilikuwa ni kupanda ndege niende huko waniambie ilikuwaje wakairuka sokoto, Sudan, keko machungwa ,kimboka ,mwanagati ,isela magezi na relini huko Dar salam bila majibu ya kueleweka ni viboko tu
Tatizo vijana wa huku hamfiki bei😂
 
My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi.
Your take is inappropriate;
Serikali ina mambo mengine ya kufanya. Ikiwasaidia hawa, basi iwasaidie na wa Kinondoni au wa pale Riverside mnaowadhuruma buku 5 zao.
 
Thailand 🤒 naonaga kwenye habar zao yaan wanaojiuza ni wengi mnoo Tena barabaran kweupe Tena mteja unafanywa kuvutwa utake usitake Sasa njoo Kwa mshoga🤮 daah wapo kushindana na wanawake Mungu ashushage gharika kwenye nchi kama hizo

Hao watakua wamefanya eneo ambalo hawaruhusu iyo biashara
 
Sawa una uhakika wakirudi wewe utatoa?
Oooh come on ,mkwe ,mimi nipo hapa kuwapambania vijana mimi siwezi kwenda tena huko .
Hao nimecheza nao toka naanza kujitambua hawakunifunza chochote zaidi ya style zile zile ila sasa nazijua zingine bila wao mfano sungunyo ,sasa mimi nitawafuata wa nini ilihali nishavuka level zao mimi
 
Kuwapambania soko lao?

Sungunyo ni nini tena mkwe?vijana mna mambo🤭
Sema vijana wana mambo sasa wamenifunza na mimi mzee siri za uvumbuzi wao mpya .
Ashakum si matusi mkwe ni style mpya ya mambo ya kunako 6×6 ila kwa heshima yako siwezi kueleza .

Ila haya mambo yanafurahsha kweli je umeyqsikia ya Tunduma lakini ,wenzio leo tupo huku tunatembea na pini mkononi eti kuogopa kugusana na mtu kadudu kakapotea 😀

Niko na jamaa yangu alitendwa akaachwa kwa kubiringwa Birmingham kama kisamvu na mkewe ,akaapa bar hataki mapenzi na hatoooa tena ,kichekesho naye leo kashikilia pini mkononi namuuliza kwani si ulisema hautaki mapenzi si hata nyeti ikipotea ndiyo safi ,anaishia kuniangalia kwa huruma kama mkulima wakati wa kuuza mazao
 
Sema vijana wana mambo sasa wamenifunza na mimi mzee siri za uvumbuzi wao mpya .
Ashakum si matusi mkwe ni style mpya ya mambo ya kunako 6×6 ila kwa heshima yako siwezi kueleza .
Basi basi mkwee nimeshaisomq sehemu humu nimeelewa😁😁😁
Ila haya mambo yanafurahsha kweli je umeyqsikia ya Tunduma lakini ,wenzio leo tupo huku tunatembea na pini mkononi eti kuogopa kugusana na mtu kadudu kakapotea 😀
🤣🤣🤣 mi siamini hayo mambo aisee! Kwahiyo hiyo pin inasaidia nini😆
Niko na jamaa yangu alitendwa akaachwa kwa kubiringwa Birmingham kama kisamvu na mkewe ,akaapa bar hataki mapenzi na hatoooa tena ,kichekesho naye leo kashikilia pini mkononi namuuliza kwani si ulisema hautaki mapenzi si hata nyeti ikipotea ndiyo safi ,anaishia kuniangalia kwa huruma kama mkulima wakati wa kuuza mazao
Hahahahaaaa🤣huenda anqtakq kujipigia tu bila attachments! mwambie akaze mapenzi yanaumiza karibu kila mmoja wetu! Asizire sasa!
 
Basi basi mkwee nimeshaisomq sehemu humu nimeelewa😁😁😁

🤣🤣🤣 mi siamini hayo mambo aisee! Kwahiyo hiyo pin inasaidia nini😆

Hahahahaaaa🤣huenda anqtakq kujipigia tu bila attachments! mwambie akaze mapenzi yanaumiza karibu kila mmoja wetu! Asizire sasa!
Dah mimi nasikia eti ukiishika basi wale jamaa walipokea kipigo jana kwa kosa la kuwagusa watu na tududu kupotea eti wakikugusa kadudu hakapotei

Sasa mimi nimefika mwenyeji anasema shika hii usije anza kutulilia badaye sasa sijui ni kweli au uongo ila imebidi nishike si unajua bila hii mali heshima hakuna kabisa hapa nchini?
 
Thailand 🤒 naonaga kwenye habar zao yaan wanaojiuza ni wengi mnoo Tena barabaran kweupe Tena mteja unafanywa kuvutwa utake usitake Sasa njoo Kwa mshoga🤮 daah wapo kushindana na wanawake Mungu ashushage gharika kwenye nchi kama hizo

Hao watakua wamefanya eneo ambalo hawaruhusu iyo biashara
Pattaya ndiyo balaa

Ova
 
Back
Top Bottom