Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

Dah mimi nasikia eti ukiishika basi wale jamaa walipokea kipigo jana kwa kosa la kuwagusa watu na tududu kupotea eti wakikugusa kadudu hakapotei
Looohh🤣🤣
Kwahiyo ukishika sindano hakipotei?
Sasa mimi nimefika mwenyeji anasema shika hii usije anza kutulilia badaye sasa sijui ni kweli au uongo ila imebidi nishike si unajua bila hii mali heshima hakuna kabisa hapa nchini?
🤣🤣🤣 jidanganyeni mkishikwa mtaimba halellujah🤣
 
Niliwaza kama wewe mkuu, sidhani kama wamekamatwa Kwa biashara haramu ya ukahaba, labda hawana vibali vya kuishi Thailand.
Miaka ile jolly club ina hit
Malaya wengi kutoka Thailand walikuwepo,nshawangoa sana pale enzi mchakaramu
Walikuwa wanaletwa na matycoon wa kununua madini huku

Ova
 
Attachments

  • Screenshot_20260402_152740_Lite.jpg
    Screenshot_20260402_152740_Lite.jpg
    106.9 KB · Views: 12
Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya.

View: https://x.com/i/status/2037994015094714505

My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi.

Wazazi tujitahidi kupambana vipato Kwa mustakabali wa familia zetu na tuwafundishe Watoto kutafuta maisha Kwa njia za halali na Zenye maadili.
Hao wa thailend ndio wanaongoza kwa kujiuza dubai kwa bei chee mpaka usd 50 na unapata line 2
 
Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya.

View: https://x.com/i/status/2037994015094714505

My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi.

Wazazi tujitahidi kupambana vipato Kwa mustakabali wa familia zetu na tuwafundishe Watoto kutafuta maisha Kwa njia za halali na Zenye maadili.

Dkt. Gwajima D
 
Samahani wazazi wapambane vipi? Huo umri si mtu afanye hata kazi za ndani? Hawezi kujitwisha beseni la mchicha akajitafuta!? Tamaa za binti mkubwa hivyo mzazi ndio apambane!!🤦🏽‍♀️
Dunia ya Leo haipaswi kuwaachia watoto urithi wa kutembeza mchicha kwenye beseni, jua ni kali sana.
 
Umeongea kwa uchungu sana kwa niaba ya walipa kodi
 
Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya.

View: https://x.com/i/status/2037994015094714505

My Take
Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi.

Wazazi tujitahidi kupambana vipato Kwa mustakabali wa familia zetu na tuwafundishe Watoto kutafuta maisha Kwa njia za halali na Zenye maadili.

Ni kweli wanahitaji msaada lakini kuna mambo mengine lazima tufikirie, jambo la kujiuza si jema. Pesa za harakaharaka zina matatizo.
 
Dunia ya Leo haipaswi kuwaachia watoto urithi wa kutembeza mchicha kwenye beseni, jua ni kali sana.
Hahhaah kwahiyo mambo kama yamekuwa magumu nifanyeje?
 
Back
Top Bottom