Serikali iwashawishi matajiri wa kichina wainunue vodacom

Serikali iwashawishi matajiri wa kichina wainunue vodacom

Aisee siku hizi hawa jamaa wa voda wamekua wahuni sana hasa katika vifurushi vyao, ukijiunga kifurushi cha Internet kama una salio la kawaida wanakata salio kwanza halafu likiisha ndio wanafyeka mb
Kwa hiyo wakiuziwa wachina hizi shida zitaisha?
 
Kwa hiyo mnaweka dhamana nini kama sio mali za uma?
Tanzania tuna credibility hatujawahi kopa kwa dhamana za natural resources au Mali za serikali au kampuni za serikali Zambia waliishiwa wakaanza kuweka rehani Mali za kampuni za serikali Tanzania hatujafika huko
 
Wakati wa mijadala ya namna hii la muhimu ni kujifunza jambo jipya. Alichokisema Kamundu ndiyo sahihi. Hisa za Vodafone kwenye Vodacom Tanzania haziuzwi Dar es Salaam Sotck Exchange. Nenda pale sokoni uangalie kwani kuna siri?
Uongo hisa za vodacom zinauzwa dar stock of exchange bei yake shilingi Mia nane .
 
Tanzania tuna credibility hatujawahi kopa kwa dhamana za natural resources au Mali za serikali au kampuni za serikali Zambia waliishiwa wakaanza kuweka rehani Mali za kampuni za serikali Tanzania hatujafika huko
Kama hamjaweka natural resources mmeweka nin? Ivi kuna mkopo ambao hauna dhamana?
 
Kama hamjaweka natural resources mmeweka nin? Ivi kuna mkopo ambao hauna dhamana?
Wa binafsi wa serikali sio inategemea credibility ya nchi.Hata mabenki binafsi sio yote unahitaji dhamana wanaangalia account yako basi ndio maana wafanyakazi wa serikali hukopeshwa Na benki Bila dhamana sababu wana mishahara ya Kila mwezi.Dhamana unafaidi kwa mtu mwenye kipato kisichoeleweka au kidogo kuliko mkopo.
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Kwani vodacom ni ya serikali?
 
Ya voda yaachiwe voda

China hapana
 
Uongo hisa za vodacom zinauzwa dar stock of exchange bei yake shilingi Mia nane .
YEHOYADA,

Usibishane na wasomi utapata shida sana. Soma tena nilichokiandika usirukie mada. Uliza wanaoelewa wakufahamishe kabla ya kujibu usichokielewa..
 
mmh hapo sio Zambia
images.png
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
"Kufanya vibaya kwa soko la hisa"
Hebu nisaidie mkuu kuelewa hapa hii hali inamaanisha nini na ina athari gani kwa kampuni ili hali yenyewe imeahauza hisa zake imepata mtaji wake iliokua inauhitaji!.
 
YEHOYADA:

Samo Prospectus (Kama unaelewa maana yake) ya Vodacom section 1.5 page 05, section 10.6 page 44 nad Part B: Notes to Consolidated Financial Statements Note 35. Kama huelewi uliza uelimishwe.
 
Mkuu uliuza wapi na mm niuze zangu fasta, msaada pliz
Niliwapigia Voda wakanipa namba za mawakala wa DSE siku tatu tu mzigo unakuwa ushasoma kwenye akaunti yako. Au ukienda tawi lolote la NBC watakupa namba za mawakala utachagua mwenyewe
 
Niliwapigia Voda wakanipa namba za mawakala wa DSE siku tatu tu mzigo unakuwa ushasoma kwenye akaunti yako. Au ukienda tawi lolote la NBC watakupa namba za mawakala utachagua mwenyewe
Ata mm nilienda dse mkuu wakanipa namba za mabroker, ila sijapata ambao wanaweza wakaniuzia fasta, nilitafuta mmoja wakaniambia ni mpk zaid ya mwez, ndio mana nataka unipe info za hao waliokuuzia fasta mkuu.
 
Back
Top Bottom