Serikali iwashawishi matajiri wa kichina wainunue vodacom

Serikali iwashawishi matajiri wa kichina wainunue vodacom

Vodacom sio kampuni ya serikali
Ni kampuni inayomilikiwa na Vodafone SA, Rostam
Vodafone inamilikiwa na Vodafone UK
 
Vodacom sio kampuni ya serikali
Ni kampuni inayomilikiwa na Vodafone SA, Rostam
Vodafone inamilikiwa na Vodafone UK
watanzania
Walionunua hisa hujawataja vipi hao sio wamiliki wa vodacom?
 
kwanza hao wachina unaoita polisi uongo ni kampuni ya ulinzi ya binafsi ya wachina hata hapa tanzania ipo inaitwa china security inalinda vituo vya mabasi ya mwendo kasi.
Unapojibu uwe na uhakika na jibu lako au uwe umefanya utafiti.

BBC News Swahili
Zambia yasitisha ajira ya polisi wa Kichina

Image copyrightMWEBANTU MEDIA
_99265561_f9a2b2fc-5021-434f-870c-515ca0db8479.jpg

Image captionPolisi raia wa China waajiriwa Zambia.

Maafisa wa polisi nchini Zambia wamefutilia mbali mpango wa kuwaajiri raia wanane wa Kichina kuwa polisi nchini humo yapata saa 24 baada ya kuzindua mpango huo kufuatia pingamizi kutoka kwa raia.

Maafisa hao wapya walikuwa wamepewa jukumu la kupiga doria mjini Lusaka siku ya Jumatatu.

Lakini uamuzi huo ulizua hisia kali kutoka kwa raia hususan kutokana na agizo jipya lililotolewa mapema mwaka huu ambalo linapiga marufuku maafisa wa polisi kuoa wageni kutokana na sababu za kiusalama.
Raia wa Zambia wenye uraia wa mataifa mawili pia hawaruhusiwi kujiunga na kikosi cha polisi.

Dickson Jere, ambaye ni wakili, alisema kuwa uteuzi huo ulikiuka katiba ambayo inasema wazi kuwa, Mzambia yeyote aliye na uraia wa nchi mbili hawezi kujiunga na idara za usalama.

Msemaji wa polisi nchini Zambia Esther Mwata-Katongo, alitetea uteuzi huo wa polisi akisema kuwa kabla ya wao kuteuliwa walichunguzwa na watafanya kazi chini ya usimamizi wa polisi wa kawaida.
Copyright © 2017 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake.
 
Hii mada yako ya mapolisi kaianzishie mada yako acha kudandia za wengine tutakuja huko kujadili
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana

Kutofanya vizuri kwenye soko la hisa kuna sababu nyingine na siyo kwamba Vodacom haifanyi vizuri sokoni. Kwa taarifa yako, vodacom imefanya vizuri mwaka huu kuliko mwaka jana( angalau kwa hesabu za awali)

Vilevile, Vodacom kwa sasa haiuzi hisa (IPO), zilizopo sokoni ni za wanahisa kuhamisha umiliki wao.
 
Attachments

Hii mada yako ya mapolisi kaianzishie mada yako acha kudandia za wengine tutakuja huko kujadili
Acha kudanganya watu wazima wewe saizi yako ni mambo ya siasa mambo yanayohitaji facts huwezi kujadili, eti ni askari wa makampuni ya ulinzi, huoni nembo ya jeshi la polisi la Zambia kwenye gari na kwenye kofia zao.
images.png

unnamed.jpg
 
Vodacom kwasasa inatakiwa wasaidiwe! Yaan kazi walionayo sahizi ni kuongeza gharama za huduma zao, ila hakunaa maboresho yoyote wanayofanya! Wao wanaangalia pesa tu sio kuboresha huduma! Mfano ; kwenye Mpesa , na vifurushi kila baada ya muda wanaongeza gharama! Ukiuliza wanasema tunataka kuboresha zaid!!hivi unaweza kuboresha huduma zako kibiashara kwa kuongeza gharama za bidhaa zakoo ? Only that??
 
Vodacom imesajiliwa soko la hisa la Tanzania mchina hana haja ya kwenda soko la hisa la uingereza.Anaenda soko la hapa ananunua .basi.
Hizi ni share za watu sio nchi. Huwezi kuja kununua share Tanzania ambazo mkataba ni za wananchi na ukanunua kama nchi! hayo sio makubaliano. Hii ni kwa kampuni za Tanzania na wananchi wa Tanzania . Kama wanataka hivyo inabidi mkataba wa share ubadilike. Vilevile hakuna sababu basi ya kutenga share za wananchi kama zina nunuliwa na nchi nyingine. China vilevile wana fund kama nchi na mara nyingi lime focus kununua Treasury bills za nchi na sio share za kampuni.
 
Tatizo lao sio capital kampuni yao mama

NASDAQ : Vodafone Group PLC Market Cap:
59.82B for Sept. 27, 2018
 
Tatizo lao sio capital kampuni yao mama

NASDAQ : Vodafone Group PLC Market Cap:
59.82B for Sept. 27, 2018
Hiyo ni ya Group tuwekee ya subsidiary Ya vodacom Tanzania pekee.Ya Group haitoi picha halisi ya state of affairs za vodacom Tanzania
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Kwani umeambiwa wanauza kampuni? Kuuza sehemu ya hisa zao kwenye soko la dar sio takwa lao kwanza wamelazimishwa na mabadiliko ya sheria wakati wa jk
 
Dogo unaongea ujinga gani wewe, Acacia tumeambiwa sio kampuni iliyosajiliwa hapa nchini, lakini mpaka leo ipo na inaendelea na shughuli zake. Sasa kama bado ipo na wewe hujui viongozi wamesaini nini na Acacia unabwata nini hapa jukwaani?

😀
 
Vodacom imesajiliwa soko la hisa la Tanzania mchina hana haja ya kwenda soko la hisa la uingereza.Anaenda soko la hapa ananunua .basi.
Wakati wa mijadala ya namna hii la muhimu ni kujifunza jambo jipya. Alichokisema Kamundu ndiyo sahihi. Hisa za Vodafone kwenye Vodacom Tanzania haziuzwi Dar es Salaam Sotck Exchange. Nenda pale sokoni uangalie kwani kuna siri?
 
Vision ya mkulu ni kuifanya TTCL kama kampuni pekee ya mawasiliano Tz.... Mission yake ni kuua haya makampuni mengine.. Ndio kaanza kuichukua airtel (ttcl v airtel saga) then voda.... Na ttcl ukiwaangalia wameanzia kujiboresha zaidi kwenye data(ambayo ndio future ya mawasiliano)..

Ni suala la muda tu
 
Aisee siku hizi hawa jamaa wa voda wamekua wahuni sana hasa katika vifurushi vyao, ukijiunga kifurushi cha Internet kama una salio la kawaida wanakata salio kwanza halafu likiisha ndio wanafyeka mb
 
ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
Kwa hiyo mnaweka dhamana nini kama sio mali za uma?
 
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Voda haifanyi vizuri kwa sababu ya uchumi mbovu!! Na sio voda makampuni mengi hali ni tete... We unadhan hao wachina hawaioni voda? Unadhan kwanin hawataki kuichukua?
 
Back
Top Bottom