Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapojibu uwe na uhakika na jibu lako au uwe umefanya utafiti.kwanza hao wachina unaoita polisi uongo ni kampuni ya ulinzi ya binafsi ya wachina hata hapa tanzania ipo inaitwa china security inalinda vituo vya mabasi ya mwendo kasi.
Hii mada yako ya mapolisi kaianzishie mada yako acha kudandia za wengine tutakuja huko kujadiliUnapojibu uwe na uhakika na jibu lako au uwe umefanya utafiti.
BBC News Swahili
Zambia yasitisha ajira ya polisi wa Kichina
Image copyrightMWEBANTU MEDIA![]()
Image captionPolisi raia wa China waajiriwa Zambia.
Maafisa wa polisi nchini Zambia wamefutilia mbali mpango wa kuwaajiri raia wanane wa Kichina kuwa polisi nchini humo yapata saa 24 baada ya kuzindua mpango huo kufuatia pingamizi kutoka kwa raia.
Maafisa hao wapya walikuwa wamepewa jukumu la kupiga doria mjini Lusaka siku ya Jumatatu.
Lakini uamuzi huo ulizua hisia kali kutoka kwa raia hususan kutokana na agizo jipya lililotolewa mapema mwaka huu ambalo linapiga marufuku maafisa wa polisi kuoa wageni kutokana na sababu za kiusalama.
Raia wa Zambia wenye uraia wa mataifa mawili pia hawaruhusiwi kujiunga na kikosi cha polisi.
Dickson Jere, ambaye ni wakili, alisema kuwa uteuzi huo ulikiuka katiba ambayo inasema wazi kuwa, Mzambia yeyote aliye na uraia wa nchi mbili hawezi kujiunga na idara za usalama.
Msemaji wa polisi nchini Zambia Esther Mwata-Katongo, alitetea uteuzi huo wa polisi akisema kuwa kabla ya wao kuteuliwa walichunguzwa na watafanya kazi chini ya usimamizi wa polisi wa kawaida.
Copyright © 2017 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake.
Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Acha kudanganya watu wazima wewe saizi yako ni mambo ya siasa mambo yanayohitaji facts huwezi kujadili, eti ni askari wa makampuni ya ulinzi, huoni nembo ya jeshi la polisi la Zambia kwenye gari na kwenye kofia zao.Hii mada yako ya mapolisi kaianzishie mada yako acha kudandia za wengine tutakuja huko kujadili
Hizi ni share za watu sio nchi. Huwezi kuja kununua share Tanzania ambazo mkataba ni za wananchi na ukanunua kama nchi! hayo sio makubaliano. Hii ni kwa kampuni za Tanzania na wananchi wa Tanzania . Kama wanataka hivyo inabidi mkataba wa share ubadilike. Vilevile hakuna sababu basi ya kutenga share za wananchi kama zina nunuliwa na nchi nyingine. China vilevile wana fund kama nchi na mara nyingi lime focus kununua Treasury bills za nchi na sio share za kampuni.Vodacom imesajiliwa soko la hisa la Tanzania mchina hana haja ya kwenda soko la hisa la uingereza.Anaenda soko la hapa ananunua .basi.
Hiyo ni ya Group tuwekee ya subsidiary Ya vodacom Tanzania pekee.Ya Group haitoi picha halisi ya state of affairs za vodacom TanzaniaTatizo lao sio capital kampuni yao mama
NASDAQ : Vodafone Group PLC Market Cap:
59.82B for Sept. 27, 2018
Kwani umeambiwa wanauza kampuni? Kuuza sehemu ya hisa zao kwenye soko la dar sio takwa lao kwanza wamelazimishwa na mabadiliko ya sheria wakati wa jkUkiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Dogo unaongea ujinga gani wewe, Acacia tumeambiwa sio kampuni iliyosajiliwa hapa nchini, lakini mpaka leo ipo na inaendelea na shughuli zake. Sasa kama bado ipo na wewe hujui viongozi wamesaini nini na Acacia unabwata nini hapa jukwaani?
Wakati wa mijadala ya namna hii la muhimu ni kujifunza jambo jipya. Alichokisema Kamundu ndiyo sahihi. Hisa za Vodafone kwenye Vodacom Tanzania haziuzwi Dar es Salaam Sotck Exchange. Nenda pale sokoni uangalie kwani kuna siri?Vodacom imesajiliwa soko la hisa la Tanzania mchina hana haja ya kwenda soko la hisa la uingereza.Anaenda soko la hapa ananunua .basi.
You are smart and I'm your fan. point noted.Waanze kuwauzia TTCL Kwanza ambayo ni Yao kabla kuanza kutolea macho Mali za Wanaume
disinvestment....Mimi nimeziuza last week nikanunua flat screen kubwa ya Samsung. Nimetulia nayo tu
Kwa hiyo mnaweka dhamana nini kama sio mali za uma?ya zambia achia wazambia wao walikopa wakaweka dhamana au collatteral airport na shirika lao la umeme walposhindwa kulipa mikopo ulitegemea nini? sisi mikopo yetu hatuweki dhamana mali za umma acheni kukariri.Mtu anakopa halafu anaweka dhamana ya mkopo bandari yake ana akili huyo.Acha kutulinganisha na wazambia tuombe msamaha
Voda haifanyi vizuri kwa sababu ya uchumi mbovu!! Na sio voda makampuni mengi hali ni tete... We unadhan hao wachina hawaioni voda? Unadhan kwanin hawataki kuichukua?Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana