Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa hiyo wakiuziwa wachina hizi shida zitaisha?Aisee siku hizi hawa jamaa wa voda wamekua wahuni sana hasa katika vifurushi vyao, ukijiunga kifurushi cha Internet kama una salio la kawaida wanakata salio kwanza halafu likiisha ndio wanafyeka mb
Tanzania tuna credibility hatujawahi kopa kwa dhamana za natural resources au Mali za serikali au kampuni za serikali Zambia waliishiwa wakaanza kuweka rehani Mali za kampuni za serikali Tanzania hatujafika hukoKwa hiyo mnaweka dhamana nini kama sio mali za uma?
Uongo hisa za vodacom zinauzwa dar stock of exchange bei yake shilingi Mia nane .Wakati wa mijadala ya namna hii la muhimu ni kujifunza jambo jipya. Alichokisema Kamundu ndiyo sahihi. Hisa za Vodafone kwenye Vodacom Tanzania haziuzwi Dar es Salaam Sotck Exchange. Nenda pale sokoni uangalie kwani kuna siri?
Then kamshauro jiwe awaizie ttcl. Voda ni ya wanaume.Ndio
Kama hamjaweka natural resources mmeweka nin? Ivi kuna mkopo ambao hauna dhamana?Tanzania tuna credibility hatujawahi kopa kwa dhamana za natural resources au Mali za serikali au kampuni za serikali Zambia waliishiwa wakaanza kuweka rehani Mali za kampuni za serikali Tanzania hatujafika huko
Wa binafsi wa serikali sio inategemea credibility ya nchi.Hata mabenki binafsi sio yote unahitaji dhamana wanaangalia account yako basi ndio maana wafanyakazi wa serikali hukopeshwa Na benki Bila dhamana sababu wana mishahara ya Kila mwezi.Dhamana unafaidi kwa mtu mwenye kipato kisichoeleweka au kidogo kuliko mkopo.Kama hamjaweka natural resources mmeweka nin? Ivi kuna mkopo ambao hauna dhamana?
Kwani vodacom ni ya serikali?Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
YEHOYADA,Uongo hisa za vodacom zinauzwa dar stock of exchange bei yake shilingi Mia nane .
mmh hapo sio ZambiaUnasema Wachina ni ndugu zetu kajifunze Zambia, sababu ya madeni wamelichukua shirika la umeme na wako mbioni kuumiliki uwanja wa ndege, leo wamelazimisha hadi wameajiriwa ndani ya jeshi la polisi.
View attachment 879459
mmh hapo sio Zambia
"Kufanya vibaya kwa soko la hisa"Ukiangalia perfomance ya hisa za vodacom soko la hisa Tanzania inaonyesha wazi kuwa kwa muda mrefu haifanyi vizuri.Naiomba serikali ishawishi wawekezaji wa china wainunue.Kupata kibali cha wanahisa wala haitakuwa tatizo sababu wengi watanzania na sisi na china ndugu moja.Wachina wana pesa na teknolojia ni rahisi kwao kuiendesha tena kwa ufanisi mkubwa na kwa bei ndogo.Vitu vingi vya china bei zao ziko chini naamini wakinunua Vodacom mteja atafaidi sana
Mkuu uliuza wapi na mm niuze zangu fasta, msaada plizMimi nimeziuza last week nikanunua flat screen kubwa ya Samsung. Nimetulia nayo tu
Niliwapigia Voda wakanipa namba za mawakala wa DSE siku tatu tu mzigo unakuwa ushasoma kwenye akaunti yako. Au ukienda tawi lolote la NBC watakupa namba za mawakala utachagua mwenyeweMkuu uliuza wapi na mm niuze zangu fasta, msaada pliz
Ata mm nilienda dse mkuu wakanipa namba za mabroker, ila sijapata ambao wanaweza wakaniuzia fasta, nilitafuta mmoja wakaniambia ni mpk zaid ya mwez, ndio mana nataka unipe info za hao waliokuuzia fasta mkuu.Niliwapigia Voda wakanipa namba za mawakala wa DSE siku tatu tu mzigo unakuwa ushasoma kwenye akaunti yako. Au ukienda tawi lolote la NBC watakupa namba za mawakala utachagua mwenyewe