Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao.

Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana.

Binafsi watoto wangu hayo masomo hawatogusa na nitahakikikisha wanaikimbia elimu ya kidwanzi ya namna hiyo.

Wasomi dunia nzima wamewashangaa sana Kwa maamuzi yenu hayo, tuendelee na hizo cable za baharini ambazo mnasubiri mpewe taarifa kwani hamna maamuzi na hamjui lolote.
 
Sasa kama wizara yenye tungetegemea irushe hizo setailate inaongozwa na watu waliosoma hkl na kuishia Introduction to Ms Office 2003 unategemea nn!
Kuna wizara zinahitaji professional
 
Kilichobaki ni kusomesha watoto nje ya nchi tu. Hapa utatengeneza watawaliwa
 
Biblia na quruan zisomwe shuleni katika dunia ya leo inayotaka mchakamchaka wa kimaendeleo
 
Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao.

Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana.

Binafsi watoto wangu hayo masomo hawatogusa na nitahakikikisha wanaikimbia elimu ya kidwanzi ya namna hiyo.

Wasomi dunia nzima wamewashangaa sana Kwa maamuzi yenu hayo, tuendelee na hizo cable za baharini ambazo mnasubiri mpewe taarifa kwani hamna maamuzi na hamjui lolote.
hizo comb za dini ni upuuzi fulani usio na tija. Kama ishu ni maadili huanzia nyumbani, hizo comb zimewekwa kuridhisha dini fulani na hiyo nyingine imewekwa kubalansi dini tu wala haieleweki kwa madhehebu mengine kuwa ni kitu gani.
 
Kuongeza michepuo ya dini kweny mtaala wa elimu ni dalili za kuanguka kwa taifa..Mataifa yetu ya kiafrika hatuna shida na dini,shida yetu ni chakula,maradhi na miuondomsingi ya uchumi wetu...Tunahitaji teknolojia rahisi ya kulima,kufuga,kujenga,kuvuna maji ya mvua,tiba,TEHAMA,..Tukiweza hayo yote tutapunguza njaa,maradh,ujinga nk..Kuzipa dini kipaumbele ni kuturudisha nyuma miala ya 1700
 
huyu tu ana spika kwenye makalio
Screenshot 2024-05-17 170100.png
 
Mleta mada hujaeleza uhusiano wa kuwepo kimoja ,ni kwa vipi unazuia kingine. Au ni katika wanaoamini tunapaswa kuiga maendeleo na tamaduni za magharibi kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom