Kwa hiyo inabagua? Kama inabagua haitufai watanzania 90% tunaishi uswahilini,asubuhi tunaamka na mabakuli kutafuta vitumbua na mihogo.Ulivyokuwa na akili ya kimaskini unadhani e-commerce inatimika kwe ye biashara ndogo ndogo. Expand fikra zako..
Nimesema haina umuhimu? Au usalama wa nchi ni muhimu zaidi ya mtandao?
Somalia ni nchi iliyoendela? Kwa hiyo kama huko kuna machafuko?Hamna usalama unalindwa kwa kuzima internet Labda Tanzania itakuwa ya Kwanza, sio kweli nchi zilizoendelea kimtandao ndo zina machafuko, ko tuseme Somalia wanatumia sana mitandao ama nn
Ww ndio unaishi uswahilini. And haibagui. It depends na mtu anataka kufanya biashara gani. Hata kama ni ndogo ukiqmua kutumia e-commerce thats up to you.Kwa hiyo inabagua? Kama inabagua haitufai watanzania 90% tunaishi uswahilini,asubuhi tunaamka na mabakuli kutafuta vitumbua na mihogo.
Kwa dunia tuliopo Ujenzi wa barabara sio suluisho pekee la kukuza uchumi wa watu, tumetoka zama za mawe, na sasa tuko zama za technologia na habari uwez kufosi tuende tofaut ata kidogo, habari ndo kila kitu ni bora kuweka sheria kali za matumiz ya mitandao kuliko kuzima mitandaoSomalia ni nchi iliyoendela? Kwa hiyo kama huko kuna machafuko?
Internet shutdown ni solution kuzuia propaganda za uongo zinazoleta uharibifu wa amani.
Cybercrimes Act,2005?Kwa dunia tuliopo Ujenzi wa barabara sio suluisho pekee la kukuza uchumi wa watu, tumetoka zama za mawe, na sasa tuko zama za technologia na habari uwez kufosi tuende tofaut ata kidogo, habari ndo kila kitu ni bora kuweka sheria kali za matumiz ya mitandao kuliko kuzima mitandao
Dunia inaenda mbele ww unafosi turudi nyuma haiwezekan, ndo maana walizima lkn watu wakajua matumizi ya VPN kuliko kawaida saiv matumiz ya VPN nchini japokuwa ni kinyume cha sheria lkn ndo habari ya mjini, Technologia ni kitu kingineKwa dunia tuliopo Ujenzi wa barabara sio suluisho pekee la kukuza uchumi wa watu, tumetoka zama za mawe, na sasa tuko zama za technologia na habari uwez kufosi tuende tofaut ata kidogo, habari ndo kila kitu ni bora kuweka sheria kali za matumiz ya mitandao kuliko kuzima mitandao
Cybercrimes Act,2005?
Usidhani watu wote humu wanatoa maoni yao wanapinga serikali kufungia mitandao.Serikali haijafunga internet unavyofikiri wewe labda imedhibiti mitandao ya kijamii ambayo ndio www.Ingefunga internet usingeweza kwenda kuchukua hela crdb acha kuichafua serikali kwa kutojua kwako na ushabiki.Tatizo ni wewe mtoa mada maneno unayotoa.Mtu atajiuliza uko sayari gani dunia hii.Elewa wanao comment humu wengi ni wazalendo wa nguvu pengine kuliko wewe na tena wana CCM tatizo unavo comment inawatia hasira mtu wanayejaribu kumuelimisha una mawazo ya kizamani mno how come uongelee hardcopy ya vitabu shuleni kwanza shule zingine havipo lakini mtandaoni mtu anasoma.How come mtu akuambie mambo ya e-commerce wewe unaongelea mambo ya kununua mihogo na nyanya gengeni hivi unafikiri kila mtu anaishi uswahilini.Mimi sijapinga wazo lako ila nilichogundua ulikuwa hujui kutofautisha kati ya internet na mitandao ya kijamii ni sawa na kulinganisha bahari na maziwa na mito vyote uviite bahari kisa tu vina maji ndani yake.Ila nimekugundua ifuatavyo:-Uchafu wote huu unaandika na mifano isiyo na kichwa wala miguu. Www ina umuhimu gani zaidi ya usalama wa nchi yetu? Maana huyo Www watu wanatumia vibaya na inaleta madhara kwa jamii. Mfano Usa mpaka sasa kuna tatizo la watu kutengeneza chuki baina ya matabaaka kupitia mitandao. Unadhani hakuna censorship?
Leo wameblock change.org mule Twitter ili tusimalizie sahihi zetu elfu 10 kumburuza muuaji jela zilibakia Mia 5. Kwa mwenye ufahamu atufungulie tumshitaki huyu shetani pls.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
WEWE NI ZUZU, ndio maana hata majority ya wana-Lumumba wenzako hawakuungi mkono kwa sababu upeo wako upo FAR below the average!! Hujafikisha hata average level ya wana-Lumumba wenzako!Lumumba sipajui na mimi sio mwana Lumumba,wao kutoniunga mkono sio sababu ya kutosema ukweli. Vipi umeanza kuwashwa tena?
WEWE NI ZUZU, ndio maana hata majority ya wana-Lumumba wenzako hawakuungi mkono kwa sababu upeo wako upo FAR below the average!! Hujafikisha hata average level ya wana-Lumumba wenzako!Mimi kutumia haki yangu ya kutoa maoni yangu ina husiana vipi na Magufuli kuufahamu ukoo wetu? Ukiambia pumbavu utasemaje?
WEWE NI ZUZU, ndio maana hata majority ya wana-Lumumba wenzako hawakuungi mkono kwa sababu upeo wako upo FAR below the average!! Hujafikisha hata average level ya wana-Lumumba wenzako!Imesaidia sana kupunguza na kuongoa proganda za kizushi kama hizi.
Naomba Mungu kwa usalama wa nchi yetu kuepuka wapotoshaji na wanasiasa wahuni kama wa Chadema internet isifunguliwe mpaka mwakani mwezi wa sita.WEWE NI ZUZU, ndio maana hata majority ya wana-Lumumba wenzako hawakuungi mkono kwa sababu upeo wako upo FAR below the average!! Hujafikisha hata average level ya wana-Lumumba wenzako!
Mi nasema hivi, hili jamaa sio jinga bali ni pumbavu manake jinga likielimishwa linabadilika kuwa mjinga, na akiendelea kuelimishwa anaachana na ujinga wake for good, lakini hili zuzu hata likielimishwa halitaki, na mbaya zaidi, hata wanaomjia kistaarabu anaishia kuwatukana!!!Umeona? umejidhihirishia kama kweli wewe ni mjinga haswaaaaa.
By the way,UJINGA SIO TUSI,ni hali ya kutojua kama wewe hapo. Hata hii ulioandika pia ni ujinga maana umemtukana MAMA AKO kwa kuwa ndie aliyekuzaaa (imeandikwa "...Mtoto mpumbavu,mzgo kwa mama ake...'' )
Mtoto hasara kweli wewe.
Lakini mdau pamoja na kumjia kwa ustaarabu wote huo, kaishia kujibiwa-Ndugu yangu Idugunde
Sipendi kupinga wazo lako ila nimeona nichukue nafasi hii kutoa elimu kidogo kutofautisha baadhi ya mamboi.Watu wengi wamekupinga najua lakini kibinadamu hakuna mtu mwenye weledi wa kila jambo katika nyanza za taaluma mbali mbali basi inapotokea hivyo ni vizuri kuelimishana mfano mtaalamu wa umeme akifika hospitali anakuwa mpole anakutana na mtaalamu wa fani nyingine ya daktari ambayo yeye haijui.
Ni vyema busara kutumika kumuelewesha mwenzio kwa lugha ya staha bila kutumia maneno machafu na matusi.
Kwa kuanza tuanze na maana ya neno internet kwanza nitaweka kwa kiingereza.
Internet is the global system of interconnected computer networks that uses the Internet protocol suite (TCP/IP) to communicate between networks and devices.
Uchafu wote huu unaandika na mifano isiyo na kichwa wala miguu. Www ina umuhimu gani zaidi ya usalama wa nchi yetu? Maana huyo Www watu wanatumia vibaya na inaleta madhara kwa jamii. Mfano Usa mpaka sasa kuna tatizo la watu kutengeneza chuki baina ya matabaaka kupitia mitandao. Unadhani hakuna censorship?
WEWE NI ZUZU, ndio maana hata majority ya wana-Lumumba wenzako hawakuungi mkono kwa sababu upeo wako upo FAR below the average!! Hujafikisha hata average level ya wana-Lumumba wenzako!Naomba Mungu kwa usalama wa nchi yetu kuepuka wapotoshaji na wanasiasa wahuni kama wa Chadema internet isifunguliwe mpaka mwakani mwezi wa sita.
Sasa kama umeshajua kuwa Mimi ni Muongo / Tapeli kwa kujifanya ni Afisa wa Serikali na Usalama ( UWT ) kwanini usinishtaki tu Kwao? Pumbavu.Wewe una nini ,zaidi ya uongo na kujifanya afisa wa wa serikali.
Ahaaaa sababu unaendekeza ujinga na upumbavu? Matapeli kama wewe wapo wengi,utasikia nilikuwa na viongozi wa wizara.... tumewazoea. Kumbe mnaishi kawe uswahilini.Sasa kama umeshajua kuwa Mimi ni Muongo / Tapeli kwa kujifanya ni Afisa wa Serikali na Usalama ( UWT ) kwanini usinishtaki tu Kwao? Pumbavu.