Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post ukishaielewa ndio jaribu kuchangia japokuwa huna akili za kupambanua mamboWewe ni kichwa maji kabisa ,eti mitandao bongo ? Hivi unajua wangapi wanategemea hiyo mitandao kujipatia kipato ?hao vijana wengi waliomaliza vyuo wakakosa ajira kwa mfumo mbaya wa serikali wamejiajiri kwenye mitandao wanatangaza kufanya biashara mitandaoni ,booking za utalii ,mahotelini ,wanaingiza hela kwa views za video nk wote wameharibiwa kazi ,usifanye mambo kwa kukurupuka dunia inabadilika internet ni muhimu siyo unaongea upumbavu hapa
Nini kimetokea hapa Tz? Na ni kwa nia njema ya kukulinda wewe na watanzania.
We muuza vitumbua Kawe ndio ukutane na watendaji wakuu wa serikali? Mbona shughuli za umma zipo sawa tu na website za serikali zinafanya kazi kama kawaida. Unadhani kila mtu ni mjinga kama hawa wafuasi wa Chadema ambao huwa unawajaza ujinga?Mimi ni mwana CCM Mwenzako na Shabiki 'tukuka' kabisa wa Rais Dk. Magufuli na hata 'Kura' yangu nimempa Yeye, ila kwa hili lililofanywa na TCRA siliungi mkono tena kwa 100% kwani ni la 'Kipumbavu / Kipopoma' mno. Nimesikitia umekuja na huu Uzi wako huku ukiwa na 'Hoja' za 'Kitoto' na 'Dhaifu' kabisa huku ukinipa 'Mashaka' kama huko Chuo Kikuu ulikosoma ulistahili kweli Kusoma.
Kwa Kukutaarifu tu sasa ni kwamba GENTAMYCINE nimebahatika kupita katika Taasisi kadhaa za Serikali hapa Mkoani Dar es Salaam na hata kukutana na Watendaji baadhi na wote 'wamechukizwa' na 'kusikitishwa' na huu 'Upumbavu' unaoutetea hapa uliofanywa na hawa TCRA. Watafute Watu wa TRA wakupe 'Mrejesho' mzima wa 'Hasara' ambayo nchi imeipata kutokana na huu 'Upumbavu' wa waliotuzimia.
Najua kwakuwa 'Kichwani' Kwako ni 'Mtupu' hili hulijui na sasa nakupa kwamba baada ya hawa TCRA 'Kuamuru' haya Makampuni ya Simu yarudishe 'Huduma' za Mtandao 'yamegoma' na wanachofanya ni Kuwasha tu 'Kimtindo' kisha 'wanazima' au kufanya Mtandao uwe 'Slow' ili tu na Wao 'Kuwakomoa' hawa TCRA wako. Na nasikia kuna Kampuni Kubwa tu ya Kimarekani inataka ilipwe ndiyo ibonyeze Kitufe cha Internet.
Namalizia kwa Kukuuliza je, umeshajua ni kwanini hivi sasa kuna Ulinzi mkubwa, mkali na umakini mwingi pale Kijitonyama katika Ofisi za Posta? Kwakuwa Kichwani mwako ni 'Mtupu' siwezi Kukupa Kinachoendelea na Kilichosababisha. Sasa kama hawa TCRA wako 'unaowatetea' hapa wamezima Mtandao mbona Watanzania wenye 'Akili' kuliko wao bado tunaendelea tu Kutumia Mtandao kutoka nchi zingine Duniani?
Amani au Ustawi wa nchi hauletwi kwa 'Wapumbavu' kadhaa Kuamua 'Kipumbavu' tu 'Kuzima' Mtandao bali ni kwa wenye Mamlaka Kuongoza au Kutawala kwa Haki huku wakikubali 'Kukosolewa' ili wawe 'imara' zaidi. Na kama kuna Serikali ambayo ilipaswa iheshimu sana Mitandao na Maoni yetu Sisi 'Keyboard Warriors' basi ni hii ya sasa kwani 'tunaisaidia' kuliko vile inavyodhani kwa 'Kuwaibulia' mengi tu wasiyoyajua.
Na usichokijua Mitandao hii hii unayosema inaleta 'Vita' ndiyo hii hii ikitumika vyema ndiyo 'Kinara' wa Kuleta Amani hapa Duniani. Umenikera mno.
You're an 'Authentic' Cockeyed on this Forum.We muuza vitumbua Kawe ndio ukutane na watendaji wakuu wa serikali? Mbona shughuli za umma zipo sawa tu na website za serikali zinafanya kazi kama kawaida. Unadhani kila mtu ni mjinga kama hawa wafuasi wa Chadema ambao huwa unawajaza ujinga?
Hanijui, uzalendo na mapenzi kwa taifa langu ndio maana nasema ukweli.
Imesaidia sana kupunguza na kuongoa proganda za kizushi kama hizi.Likely, wewe hujui hata maana ya "uzalendo"..!
Wamefunga nini unadhani?
Wamewafungia watu wa kawaida masikini na kuwatesa na kuwanyima riziki zao kwa sababu za ubinafsi (selfish) tu...
Lakini mjanja na mtaalam yeyote wa IT bado ana access ya internet popote alipo Tanzania na anaweza kufanya lolote kama anataka...
Kilichofanywa na serikali ya CCM na Magufuli wenu mshindi wa kura za maboksi ya wizi ni ushamba na uzumbukuku tu kamwe hata siyo uzalendo bali ni uzandikiki..
Duuh inamaana huonag hata sponsored ads fb,IG,Tiktok et.za wabongo wanauza bidhaa mbalimbali.?..Na ukiclick unapelekwa kweny website zao.?E- commerce bongo? Kila siku mnarundikana kwenye magenge kununua nyanya na dagaa mchele.
Kweli kujipendekeza ni dhambi mbaya sana.Sijui hata maguful anajua hata ukooo wako? HaaahHii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Mjinga mama yako aliepanua mapaja alafu akaingiziwa,akazaa mbumbu na mpumbavu kama wewe huku akikata viuno wakati analiwa.Duuh inamaana huonag hata sponsored ads fb,IG,Tiktok et.za wabongo wanauza bidhaa mbalimbali.?..Na ukiclick unapelekwa kweny website zao.?
Umeongea ujinga
Umeona? umejidhihirishia kama kweli wewe ni mjinga haswaaaaa.Mjinga mama yako aliepanua mapaja alafu akaingiziwa,akazaa mbumbu na mpumbavu kama wewe huku akikata viuno wakati analiwa.
Na mm nmetoa maoni yangu pia ,au tunapangiana haahhahaa doh. Kijana tafuta kazi upunguze stress za maisha.Mimi kutumia haki yangu ya kutoa maoni yangu ina husiana vipi na Magufuli kuufahamu ukoo wetu? Ukiambia pumbavu utasemaje?
Upumbavu ni kuushambulia mtandao wa Internet kwa kutumia mtandao huo huo wa Internet.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.
Mimi nina uwezo wa kukulisha wewe na huyo mama yako aliepanua mapaja na kupigwa mzigo kisha akazaa mbumbumbu kama wewe. Usidandie mada kwa kukariri ujinga pumbavu wewe.Na mm nmetoa maoni yangu pia ,au tunapangiana haahhahaa doh. Kijana tafuta kazi upunguze stress za maisha.
Huwezi kujua bila kuelewa. Tuendelee na mjadala Mkuu.Hata sijui unazungumzia nini!
Unawasilisha ujumbe huu kwa kupitia njia gani? Mtandao wa jf? Hasara kwa wazazi wako.Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa kueneza propagada za uongo na kusababisha taharuki hasa nyakati za uchaguzi. Mimi binafsi naipongeza Serikali kwa hatua ilizofanya kwa maslahi ya taifa letu.
Hatujui akina Amsterdam na baadhi ya mabeberu walikuwa na mpango gani wa kudukua na kuingilia mawasiliano ya mtandao wa serikali yetu ili kuvuruga uchaguzi.