Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

Soma post ukishaielewa ndio jaribu kuchangia japokuwa huna akili za kupambanua mambo
 
We muuza vitumbua Kawe ndio ukutane na watendaji wakuu wa serikali? Mbona shughuli za umma zipo sawa tu na website za serikali zinafanya kazi kama kawaida. Unadhani kila mtu ni mjinga kama hawa wafuasi wa Chadema ambao huwa unawajaza ujinga?
 
You're an 'Authentic' Cockeyed on this Forum.
 
Hanijui, uzalendo na mapenzi kwa taifa langu ndio maana nasema ukweli.

Likely, wewe hujui hata maana ya "uzalendo"..!

Wamefunga nini unadhani?

Wamewafungia watu wa kawaida masikini na kuwatesa na kuwanyima riziki zao kwa sababu za ubinafsi (selfish) tu...

Lakini mjanja na mtaalam yeyote wa IT bado ana access ya internet popote alipo Tanzania na anaweza kufanya lolote kama anataka...

Kilichofanywa na serikali ya CCM na Magufuli wenu mshindi wa kura za maboksi ya wizi ni ushamba na uzumbukuku tu kamwe hata siyo uzalendo bali ni uzandikiki..
 
Imesaidia sana kupunguza na kuongoa proganda za kizushi kama hizi.
 
Kweli kujipendekeza ni dhambi mbaya sana.Sijui hata maguful anajua hata ukooo wako? Haaah
 
Kweli kujipendekeza ni dhambi mbaya sana.Sijui hata maguful anajua hata ukooo wako? Haaah
Mimi kutumia haki yangu ya kutoa maoni yangu ina husiana vipi na Magufuli kuufahamu ukoo wetu? Ukiambia pumbavu utasemaje?
 
Duuh inamaana huonag hata sponsored ads fb,IG,Tiktok et.za wabongo wanauza bidhaa mbalimbali.?..Na ukiclick unapelekwa kweny website zao.?

Umeongea ujinga
Mjinga mama yako aliepanua mapaja alafu akaingiziwa,akazaa mbumbu na mpumbavu kama wewe huku akikata viuno wakati analiwa.
 
Mjinga mama yako aliepanua mapaja alafu akaingiziwa,akazaa mbumbu na mpumbavu kama wewe huku akikata viuno wakati analiwa.
Umeona? umejidhihirishia kama kweli wewe ni mjinga haswaaaaa.

By the way,UJINGA SIO TUSI,ni hali ya kutojua kama wewe hapo. Hata hii ulioandika pia ni ujinga maana umemtukana MAMA AKO kwa kuwa ndie aliyekuzaaa (imeandikwa "...Mtoto mpumbavu,mzgo kwa mama ake...'' )

Mtoto hasara kweli wewe.
 
Mimi kutumia haki yangu ya kutoa maoni yangu ina husiana vipi na Magufuli kuufahamu ukoo wetu? Ukiambia pumbavu utasemaje?
Na mm nmetoa maoni yangu pia ,au tunapangiana haahhahaa doh. Kijana tafuta kazi upunguze stress za maisha.
 
Upumbavu ni kuushambulia mtandao wa Internet kwa kutumia mtandao huo huo wa Internet.

Ungeandika kwa masizi kwenye mabua ukasambaza ujinga wako, hapo hata kama ungekuwa umekosea, angalau ungekuwa consistent kinadharia.

Sasa hivi unaushambulia mtandao wa internet, wakati huo huo unautumia, unaonekana ama ni mjinga, ama ni mnafiki.

Pengine vyote viwili.
 
Na mm nmetoa maoni yangu pia ,au tunapangiana haahhahaa doh. Kijana tafuta kazi upunguze stress za maisha.
Mimi nina uwezo wa kukulisha wewe na huyo mama yako aliepanua mapaja na kupigwa mzigo kisha akazaa mbumbumbu kama wewe. Usidandie mada kwa kukariri ujinga pumbavu wewe.
 
Unawasilisha ujumbe huu kwa kupitia njia gani? Mtandao wa jf? Hasara kwa wazazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…