Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Ana kiu ya kumwaga damu tena.Sikutegemea kukuta Uzi mwingine asubuhi hii wenye maudhui yanayofanana, Tena nyuzi zimepishana DK 3. Tumainiel una shida Gani? Ulihusika tukio la September 7? Mbona una hofu sana?
mvae barakoa.na mkae mbalimbali ili wimbo wenu wa corona uelewekeTutakuwepo kumpokea “The chosen one”.
Unaogopa jela ndio maana kila siku mnaabudu watu pumbafULINZI atapewa hadi Segerea rumande bila shida
Amehalifu nini?Kwa hiyo mhalifu asikamatwe kisa kuogopa siasa!!!!!
Kuwa ukiwa kwenye uchaguzi wanasiasa ruksa kufanya uhalifu na sheria hazitakiwi kufanya kazi zinatakiwa zisimame zisubiri uchaguzi upite!!! hakuna kitu kama hicho Lisu akifika ni kukamata na kupeleka segerea.Sheria huwa hazisimami na mahakama na rumande huwa zinaendelea kama kawaida kupokea wahalifu
Tutamchagua hata akiwa JelaHiyo ndio salama ya ccm, mkikosea akashiriki uchaguzi lazima mtapoteana. Inabidi mtumie madaraka vibaya kushindana naye na sio kisiasa.
Nawe pigwa risasi upone tukuite hivyoDamn! Umesema the chosen..........!?, [emoji16][emoji16][emoji16] kweli kuna watu wanaabudiwa aiseeee.
Aache kusifia jiwe afanye live coverage?Kuna tetesi Pascal Mayalla utafanya live coverage..
Je, lisemwalo ni kweli!?
Neno kuntu. Wamfunge wamuachie kura zetu zote ni kwa Tundu Antipas Lissu.Tutamchagua hata akiwa Jela
Pamoja na risasi zote zile zilizompatia permanent disability bado watu wanatamani Lissu akamatwe?Sawa Mkuu mkamateni haina tatizo
Hawajui kesho ya Lisu waache wamsaidie kuifikia ndoto yakePamoja na risasi zote zile zilizompatia permanent disability bado watu wanatamani Lissu akamatwe?
Mzee umesoma vizuri komenti lakini au umekurupuka tu huh!Nawe pigwa risasi upone tukuite hivyo
Wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi tafadhalini mulikeni kwa ukaribu sana mapokezi ya mtu anaitwa Lissu.
Njia za kufanya, fanyeni kama Mossad walivyoweza peleka watu wao kwenye vikao vya siri vya USSR, jambo lililosaidia CIA kupata mipango hatari ya USSR ya zamani.
Pia mulikeni makundi special.
Pia kuna key people mnaitaji kuwafuwatilia kwa umakini sana mwisho mtanielewa. Mimi natoa ushauri kutokana na kufuatilia mienendo ya mada kutoka blog tofauti nikaja na hii solution.
Huhitaji kupulizia upupu watu wengi wasiojuwa wanaenda wapi, mpulizie upupu mpangaji wa mipango arudi nyumbani akakunwe na familia yake.
Najua na hili nalo litapita.
ULINZI atapewa hadi Segerea rumande bila shida
Dogo teuzi zimeshajaa ww kanywe mbege
Utakuwepo kwenye mapokezi?
Kwa hiyo mhalifu asikamatwe kisa kuogopa siasa!!!!!
Kuwa ukiwa kwenye uchaguzi wanasiasa ruksa kufanya uhalifu na sheria hazitakiwi kufanya kazi zinatakiwa zisimame zisubiri uchaguzi upite!!! hakuna kitu kama hicho Lisu akifika ni kukamata na kupeleka segerea.Sheria huwa hazisimami na mahakama na rumande huwa zinaendelea kama kawaida kupokea wahalifu
Hayo maeneo yote yalianzishwa na Muzungu kwa ajili ya Muzungu na Muhindi, sisi maeneo yetu yalikuwa Magomeni, Temeke, na kwingineko, lkn mpaka leo hii tumeshindwa kabisa kuanzisha maeneo yetu mapya yenye hadhi na mazingira ya kuvutia kama vile ilivyo O'bey, Masaki au Upanga, sasa ni kwa nini? Nyerere alijaribu kuanzisha Sinza ambayo labda ingekuwa kama Upanga lkn matokeo yake uchafu tu, akaanzisha Mbezi Beach ambayo ndiyo ilipaswa kuwa O'bey yetu alifanikiwa mwanzoni Mbezi beach ilikuwa upscale lkn sasa hivi Mbezi beach haina tofauti na Mwenge, Magomeni au Kigogo, uchafu kila mahali, bodaboda wauza miwa mihogo barabarani, mvua zikinyesha ni maji hayapiti wamejenga kwenye mito, maeneo ya wazi yamejengwa yote hakuna parks, public beach kama Coco hakuna wamejenga hotels na mavila yao na kuziba kila kitu, Upanga, O'bey, Ada estate bado yanabakia kuwa maeneo mazuri na tulivu yasiyo na kelele na ushenzi, kwa nini? Sasa hivi wamehamia sijui Mbweni, kunavutia kwa sasa muda si mrefu Wahamiaji kutoka Mikoani watajaa wataleta bodaboda, wauza juice chafu, Makanisa ya kilokole kelele usiku kucha na itageuka Kimara Baruti.
Kwa nini tunashindwa kujenga maeneo mazuri na tulivu ya kuishi kwa raha na amani?
Mitaa yenyewe unayoitaja haijajengwa kwa utaratibu, ni mitaa ya hovyo hivyo tu ila ina nyumba nzuri nzuri.
Kinachotofautisha masaki na mbagala ni thamani ya nyumba lakini sio mpangilio wa mitaa na ubora wa nyumba zilizoko huko.
Kwa mpangilio wa mitaa masaki, Ada estate na obey haina tofauti na gongo la mboto au mbagala.
Hii nchi kwenye mipango miji na mitaa ni sifuri, hakuna mahala tumefanikiwa. Dodoma wale cda walipaswa kupewa kezi za uhujumu uchumi.