Serikali iwe makini, Urusi imekuja na mbinu hizi kuchukua vijana wa Kitanzania kwenda kupigana Ukraine

Askari/Wapiganaji huko Frontline wapo Me na Ke. Na uzuri zaidi ni kwamba risasi haiangalii Jinsia. Niliona vid clip ya Mwamba Hamza ila wanaume ndo waliokuwa wanaongoza kukimbia. Nilisikia habari za panyarodi lakini mitaa iliyokuwa inatekwa ilikuwa na wanaume wengi na walijifungia ndani. Kwa kifupi, usimwambie huyo jamaa eti anazingua sana. Nenda kivyako kwa raha zako. Ukirudi ukajenge kwenu kama Tarimo.
 
Haina neno, kikubwa nifanikishe tu. Pua ukisikia sehemu wanatangaza nafasi za jeshi russia nishtue mkuu. Nipo tayari nikulipe hata 500USD ukinipa connection ya kueleweka.
Kajisajili Ubalozi wa Russia au pitia kwa agent wa Wagner Group.
 
Hivi Morocco unaenda kusoma Nini?
Hivi Morocco hakuna vyuo? Zingatia: Ni makubaliano ya kimataifa kwamba vyuo vinavyotambulika kimataifa huwa wanabadilishana au kutoa fursa (kukaribisha) kwa Wanafunzi na Maprofesa Kujifunza au Kufundisha au kutoa andiko kwenye vyuo hivyo na ni jambo linalokuza Umaarufu wa vyuo hivyo.
 
Mkuu panya road wapo dar, sidhani kama mimi naweza kuogopa watoto wa mtaani. Na labda wanasumbua huko kwakuwa watu wa huko niwapole, mbona hawazingui huku kwetu? Yani nimkimbie panya road? Wanayoyafanya panya road mimi nimepitia kwa mtindo mwingine.

Nilikuwa ninakundi siyo la ukabaji ila ni kwaajili ya kupigana na makundi mengine. Kama ni kisu nilishachomwa, na nilishamkata mtu vidole na sikio moja. Nimkimbie mtoto wa mtaani? Acha masihara mkuu, ni vile tu hizi ID fake hatujuani.
 
Sawa mkuu. Nakutakia kila la kheri.
 
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Is this right? Ndiyo campaign ya CHADEMA kupeleka iasporas? Ndiyo huwaombea sera ya uraiapacha?
 
Unasuburia nini kujiunga na jeshi la Urusi?
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
 
Kama hicho ndicho wanachopigania unaweza kujiunga hata na Al-shabab au Taliban.
Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
 
Kwa ujumla ni risk sana kwenda kusoma kwenye mataifa haya ya kidikteta. Ni risk zaidi kwenda Urusi kwa sasa. Utabambikiwa kesi kuwa umebaka, utaenda jela, kisha unapelekwa kupigana front line.

Kwa sasa, Urusi ni kama imeamua kuwapa wafungwa wote wa muda mrefu adhabu ya kifo. Unadanganywa kuwa utakuwa huru baada ya vita, na kwamba ukiwa vitani utalipwa pesa, wakati wanajua kuwa hata hiyo pesa hutapata kwa sababu utafia vitani.
 
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Peleka maombi uende, huwezi kukataliwa.
 
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.

Unangoja nini kujiunga?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…