wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wagner chapeni kaziiiiiiiiiiiiiZimbabwe imetembelewa na lukashenko hapo Kuna jambo kubwa lazima wanatafuta mamruki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagner chapeni kaziiiiiiiiiiiiiZimbabwe imetembelewa na lukashenko hapo Kuna jambo kubwa lazima wanatafuta mamruki
Haina neno, kikubwa nifanikishe tu. Pia ukisikia sehemu wanatangaza nafasi za jeshi russia nishtue mkuu. Nipo tayari nikulipe hata 500USD ukinipa connection ya kueleweka.Sawa ukifika usisahau kutupa mrejesho
Askari/Wapiganaji huko Frontline wapo Me na Ke. Na uzuri zaidi ni kwamba risasi haiangalii Jinsia. Niliona vid clip ya Mwamba Hamza ila wanaume ndo waliokuwa wanaongoza kukimbia. Nilisikia habari za panyarodi lakini mitaa iliyokuwa inatekwa ilikuwa na wanaume wengi na walijifungia ndani. Kwa kifupi, usimwambie huyo jamaa eti anazingua sana. Nenda kivyako kwa raha zako. Ukirudi ukajenge kwenu kama Tarimo.Nimeshaomba, sijawahi kuacha fursa. 2019 sikua tu na passport. Niliapply, sehemu ya passport ilikuwa lazima me nikaweka copy ya nida na namba. Passport imepatikana tayari deadline ilikuwa imepita.
Kuna mwana wa mtaa yupo kule anamalizia mwaka huu masters. Sasa unaogopa kwenda russia, unawez jaribu harakati alizopitia Justine Marack wakati anaenda kutafuta madini congo?
Kwani wewe ni ke au me? Nisije nikawa nakomaa na wewe kumbe mwanamke. Kama ni mwanamke sawa, upo sahihi kuogopa lakini kama ni mwanaume unazingua sana.
Kajisajili Ubalozi wa Russia au pitia kwa agent wa Wagner Group.Haina neno, kikubwa nifanikishe tu. Pua ukisikia sehemu wanatangaza nafasi za jeshi russia nishtue mkuu. Nipo tayari nikulipe hata 500USD ukinipa connection ya kueleweka.
Hao maagent wapo wapi? Ubalozini hakuna hizo nafasi. NimeshajaribuKajisajili Ubalozi wa Russia au pitia kwa agent wa Wagner Group.
Hivi Morocco hakuna vyuo? Zingatia: Ni makubaliano ya kimataifa kwamba vyuo vinavyotambulika kimataifa huwa wanabadilishana au kutoa fursa (kukaribisha) kwa Wanafunzi na Maprofesa Kujifunza au Kufundisha au kutoa andiko kwenye vyuo hivyo na ni jambo linalokuza Umaarufu wa vyuo hivyo.Hivi Morocco unaenda kusoma Nini?
Mkuu panya road wapo dar, sidhani kama mimi naweza kuogopa watoto wa mtaani. Na labda wanasumbua huko kwakuwa watu wa huko niwapole, mbona hawazingui huku kwetu? Yani nimkimbie panya road? Wanayoyafanya panya road mimi nimepitia kwa mtindo mwingine.Askari/Wapiganaji huko Frontline wapo Me na Ke. Na uzuri zaidi ni kwamba risasi haiangalii Jinsia. Niliona vid clip ya Mwamba Hamza ila wanaume ndo waliokuwa wanaongoza kukimbia. Nilisikia habari za panyarodi lakini mitaa iliyokuwa inatekwa ilikuwa na wanaume wengi na walijifungia ndani. Kwa kifupi, usimwambie huyo jamaa eti anazingua sana. Nenda kivyako kwa raha zako. Ukirudi ukajenge kwenu kama Tarimo.
Sawa mkuu. Nakutakia kila la kheri.Mkuu panya road wapo dar, sidhani kama mimi naweza kuogopa watoto wa mtaani. Na labda wanasumbua huko kwakuwa watu wa huko niwapole, mbona hawazingui huku kwetu? Yani nimkimbie panya road? Wanayoyafanya panya road mimi nimepitia kwa mtindo mwingine. Nilikuwa ninakundi siyo la ukabaji ila ni kwaajili ya kupigana na makundi mengine. Kama ni kisu nilishachomwa, na nilishamkata mtu vidole na sikio moja. Nimkimbie mtoto wa mtaani? Acha masihara mkuu, ni vile tu hizi ID fake hatujuani.
Fresh, Mungu akinijalia nikafanikisha nitakupa mrejesho. Maana hatua ya kwanza nimepita, naenda hatua ya pili.Sawa mkuu. Nakutakia kila la kheri.
Is this right? Ndiyo campaign ya CHADEMA kupeleka iasporas? Ndiyo huwaombea sera ya uraiapacha?Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
Nenda ka apply hizo scholarships kama TarimoHao maagent wapo wapi? Ubalozini hakuna hizo nafasi. Nimeshajaribu
Peleka maombi uende, huwezi kukataliwa.Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Marehemu huwa anatoa mrejesho gani?Sawa ukifika usisahau kutupa mrejesho
Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.