Serikali iwe moja na iitwe Zanzibar, capital iwe ZNZ Town kama ilivokuwa 1700s


Ni kweli mimi ni mkristo ingawa sijaenda kanisani kwa muda sasa. Utakapokuwa tayari kutaka kiwanja cha Msikiti Mbeya nipe PM humu ujue sitanii. Uislamu umejengwa juu ya msingi wa dini ya Kiyahudi ya Judaism ndiyo maana mitume wote waliopo katika Biblia wanapokelewa na dini ya Kiislamu. Waislamu wanafuata torati ya musa kwa sababu hiyo; wanavaa bargashia kwa sababu hiyo, wanavaa kanzu kwa sababu hiyo, hakuna kuvaa viatu msikitini kwa sababu hiyo. Wakristo wanawakubali mitume wote hao ambao waislamu wanawakubali. Tunaunganishwa na torati ya Musa. Waislamu wanapokea mafundisho mengi ya Kristo, ingawa si yote. Kwa hiyo tunaunganishwa pia na hayo machache katika Kristo ambayo Waislam wanayapokea. Tatizo ni kwamba Wakristo wanamkataa Mtume Muhammad (SAW). Mgogoro wetu upo hapo. Lakini mimi sipendi kuuita mgogoro kwa sababu kila mtu anatakiwa kuwa huru kuamini anavyotaka.

Tukiwapa watu wetu uhuru wa imani, tukawapa wahubiri wa pande zote uhuru wa kuuza mawazo pasipo kubeza, kutukana, kudharau mitazamo ya watu wengine nchi yetu haina tatizo. Tazama upumbavu wa kupita kwenye majumba ya ibada kubeza dini za watu wengine linakotupeleka!
 
kwa bahati mbaya nyerere alikabishiwa tangayika ambayo coastal strip ni sehemu waliokodishwa wajerumani na serikali ya zanaibar. nyerere alilijuwa hilo ndio akalazimisha muungano
 
baba wenu wa taifa

ni cheo cha roman katoliki hicho

nyerere kapewa kutokea itali kwa kuuwezesha ukatoliki kuitawala tanganyika
 
baba wenu wa taifa

ni cheo cha roman katoliki hicho

nyerere kapewa kutokea itali kwa kuuwezesha ukatoliki kuitawala tanganyika

s'alykum sheikh...?
Naona unaharisha mdomoni,mana mineno yako kama umekurupukia kwenye shimo la choo,au majini yameshapanda?mana nasikia ukisoma sana yale mavitabu unakuwa sakara
 
Lidaku

s'alykum sheikh...?
Naona unaharisha mdomoni,mana mineno yako kama umekurupukia kwenye shimo la choo,au majini yameshapanda?mana nasikia ukisoma sana yale mavitabu unakuwa sakara

nakushukuru kwa mara nyengine, una uhuru wako wa kutowa maoni na kusema utakavo

kwani kila ukweli ni lazima uujuwe au uukuballi wewe?

kwa sisi wa znz, tumajuwa nyerere alivotufanyia niyinyi watanganyika munajifanya hamuoni, shauri lenu
 
nyie watu mbona hamueleweki mara mnataka kujitenga mara mnataka nchi moja lakini jina liwe zanzibar na makao makuu yawe zanzibar ok ebu tuachane na hizo hadhithi zako tuje kwenye hoja ukizungumzia zanzibar kabla ya mwaka 1886, mimi nitapenda uzungumzie zanzibar kabla ya mwaka 100 ilikuwaje? na kama tukirudi kwenye hizo historia zako basi hata iringa wana dola yao iliyokuwa inaongozwa na mkwawa. cha msingi ni kujua tanganyika ilipata uhuru ikiwa na mipaka ipi na zanzibar ilifanya mapinduzi na kupata uhuru ikiwa na mipaka ipi, pia hatuwezi kuwa watumwa wa historia coz waliofanya maamuzi ya kugawa mipaka wakati huo ni binadamu kama mimi na wewe na walifanya hivyo kwa utashi na faida yao na sisi tuna uhuru wa kufanya maamuzi yetu sasa kwa faida yetu hata tukiamua tuigawe na zipatikane nchi 3 ndani ya tanzania
 
Sisi tunakataa ukoloni wa aina zote, hatukatai ukoloni wa Wajerumani na waingereza tuu ili kuuthibitisha ukoloni wa waarabu, yaonekana wewe una ajenda ya kuukataa ukoloni wa waingereza na wajerumani ili uturudishie ukoloni wa Waarabu ambao ni mbovu kuliko huo ukoloni wa waingereza, tunakataa ukoloni wa aina zote na
 

Hutoipata zaidi ya Zinjibar, oppss siku hizi Zanzibar, katika Afrika.
 
Tena kwa kuwakumbusha tu, wasioijuwa maana Zanzibar, ile "bar", herufi tatu za mwiso, ina maana ya bara na si visiwa.

Hilo jina muafaka na la asili kabisa ya hii nchi.

cc. Bin Faza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…