Serikali iweke madaktari wabobezi wa kutosha kwenye hospitali za Amana, Temeke na M/nyamala

Serikali iweke madaktari wabobezi wa kutosha kwenye hospitali za Amana, Temeke na M/nyamala

mangelengele

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,293
Reaction score
1,100
Nimekuja na ushauri huu kutokana na kuwa madaktari kunawkt km wanabahatisha vile na ukija kufika Muhimbili utaambiwa tatizo co hilo na unakuta umepoteza muda na pesa na ugonja umefika pabaya.
Kuna mama mmoja mtotowake alishituliwa ubongo hadi muhimbili wakataka wajue ni kwann madakari walifanya vile hyo hospital wakaomba wazaz wasiende kueleza km tatizo limeanzia pale. Mm mwanangu Alitibiwa sicle cell kwa muda wa miez kadhaaa na sindano kali lukuki bila mafanikio, maada ya kwenda Muhimbili ikaonekana hana tatizo hilo. Najiuliza sn kwann serikali isiweke wataalam hao huku kwenye wilaya na mikoa, kupunguza vifo visivyo vya lazima maana nawaona ni watu wa kukisia sana kuliko uhalisia, km vipimo hakuna ni bora kusema ukweli, lkn co kukisia na kumtibu mtu kwa dawa kali kitu asichoumwa.
 
Watalaam waanzie kwny hiyo shule ya msingi uliyosoma kuandika kwanza.
 
Back
Top Bottom