Anakusaidia hata wewe ambaye hujitambui, ukimuona kipofu anaelekea kutumbukia shimoni ni wajibu wa kiraia kumwambia mbele kuna shimo. Sijui umenielewaaa?Mkuu kwani ukiacha kumpeleka mwanao, si fresh tu? Au vp ndugu mkata switch?
Na mimi niliwahi kusoma,Mm niliwahi kusoma pre form one, Ila Kwa kweli binafsi naona haina umuhimu wowote kwenye elimu ya mtoto, n bora atulie nyumbani asubiri kuanza form one rasmi.
Huwa inaitwa orientetion na hata vyuoni ipo, wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanakuja wiki moja kabla ya chuo kufunguliwa wazoee kidogo mazingira,Sema hii siku hizi imegeuzwa dili
Zamani mimi nilisoma Jitegemee miaka ya 90, tulianza mwezi kabla shule haijafunguliwa na ilikuwa bure...
Lakini tukaja kugundua kumbe tulianzishwa ili tujenge madarasa na kufanya gwaride kwa sana, hakuna kusoma....
Lakini ilikuwa poa sana kwa kijana wa kiume.....