Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm mwenzako
mwenye shibe hamjui mwenye njaa, upuuziDeadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
====
"Taasisi zote za Umma na Binafsi zinazopika chakula cha zaidi ya watu 100 itakapofika Januari 31,2024 taasisi hizo zinatakiwa kusititisha matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia, lakini taasisi zile ambazo zina watu zaidi ya 300 itakapofika Januari 31, 2025 zisitishe matumizi ya kuni na mkaa watumie nishati mbadala" - Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
huyu ni mpuuzi kama yule mzee wa kipara, ni ulevi wa zile naniiliu za wake wanne!Anatokea mtu mmoja kutoka kisarawe anatutangazia eti kutumia kuni na mkaa sasa basi.
Unawakejeli wananchi masikini ili upate nini hasa?
Maana tayari wewe ni bilionea kwa kuwepo hapo bungeni na kwenye wizara.
Unaudharau kisa umasikini wetu? Hiyo kupata mlo wangu wa siku nashindwa leo unakejeli kuwa nisahau kutumia kuni?
Muwe mnaona aibu basi hata kama ni kuuza sura.
View attachment 2585444
Jamaa kana kejeli kwelihuyu ni mpuuzi kama yule mzee wa kipara, ni ulevi wa zile naniiliu za wake wanne!
A.K.A mzaramo wa MzengaIli kupata kichekesho kingine kama hili bonyeza *j*a*f*o#.....[emoji1787][emoji23]
WASHACHOKWA NA HAWANAGA JIPYA. WAMCHONGO.Anatokea mtu mmoja kutoka kisarawe anatutangazia eti kutumia kuni na mkaa sasa basi.
Unawakejeli wananchi masikini ili upate nini hasa?
Maana tayari wewe ni bilionea kwa kuwepo hapo bungeni na kwenye wizara.
Unaudharau kisa umasikini wetu? Hiyo kupata mlo wangu wa siku nashindwa leo unakejeli kuwa nisahau kutumia kuni?
Muwe mnaona aibu basi hata kama ni kuuza sura.
View attachment 2585444
Tufanye yatupasayo kuyafanya ili tuiondoe ccm madarakani ifikapo 2025WASHACHOKWA NA HAWANAGA JIPYA. WAMCHONGO.
Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
====
"Taasisi zote za Umma na Binafsi zinazopika chakula cha zaidi ya watu 100 itakapofika Januari 31,2024 taasisi hizo zinatakiwa kusititisha matumizi ya kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia, lakini taasisi zile ambazo zina watu zaidi ya 300 itakapofika Januari 31, 2025 zisitishe matumizi ya kuni na mkaa watumie nishati mbadala" - Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
Mkuu nimekumbushwa zile hadithi kwenye kitabu cha "HEKAYA ZA ABUNUASI"Imefanyaje mkuu
🤣🤣🤣Nawezaje kupata vichekesho vingine kama hivi?
Huyu naye ni dokta? Tangu lini? Babu Tale aruhusiwe kutumia PhD yake sasaDeadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo.
Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni.
Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia.
Pia soma > Waziri Jafo apiga marufuku Majeshi na Shule kutumia kuni na mkaa kama nishati ya kupikia