Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

USHAURI KUNTU,ila sasa tunawashughulikia waasi 50 waliotihujumu kama chama GEITA wakati wa uchaguzi mkuu 2020.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mh mkuu wa Kaya,why not you!
Nina ekari sita za miti niliyopanda mwenyewe miaka 8 iliopita,lakini sehemu tofauti na huko.

Ingependeza kusikia mkuu wa kaya analivalia njuga zoezi la upandaji miti kama anavyosisitiza ulipaji wa kodi TRA.

Hata kwenye kampeni ya Uchaguzi mkuu,kuhifadhi mazingira hakukupa kipaumbele.
 
Mpango Kama huo ,inawezekana zaismdi njia ya kwenda Mvumi kupitia Ntyuka ,Kuna vilima na mspromoko mengi yanayopitisha maji kutoka maeneo ya Mtera ,Mlowa kwa ujumla Iringa Road .
Hayo maji mkuu si ndiyo yanaenda kulisha bwawa la Mtera? Au unataka likauke?
 
Dogo weka namba za simu kabisa mbona Lesilie Mbunda "Chakubanga" pamoja na mashudu anayotoa hapa huwa anaweka namba za simu kabisa? Wewe umetoa point sana mkuu!
 
Wazo zuri, nasikitika litabaki humu jamii forum kwa ajil ya kusomwa tu.
Kikubwa ameandika inabaki kama kumbukumbu.. Hata alieandika na kushauri kuhusu Stiegler's Gorge huenda hakutegemea kuwa 2020 bwawa lingejengwa
 
Hongera kwa wazo zuri.
Kulikuwa na mpango wa kuleta maji kwa bomba za DI Ductile Iron za ukubwa wa 600mm kutoka Mwanza, sijui mpango uliishia wapi.

Kwa wazo la bwawa la ukubwa huo japo hujatoa kina

20 km x 30km = 600 square kilometer ni kubwa sana.

Maana hata kama kina ni 3 meters hii ina maana kuwa
20000m x 30000m x 3m = 180,000,000 cubic mtrs.

Hata kama kuna water catchment nzuri bado huwezi kuvuna maji mengi kiasi hicho.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Mimi nimetoa tu wazo kwa kutizama hatima ya Jiji la Dodoma baada ya shughuli za kiuchumi na kijamii kupanmba moto hapo bila uwepo wa maji yenye matumizi mtambuka usishangae kiongozi wa nchi wa siku za usoni kurejesha mako makuu ya serikali jijini Dar Es Salaam.




Kuhusu kina cha bwawa/lambo mimi nilijikita kwenye eneo la mraba na mjadala wa jukwaa pamoja na watalaamu nduio wanaoweza kupendekeza kwa kulingana uwezo wa upatikanaji wa maji wakati wa mvua na eneo litakalobainishwa. Kupendekeza kina inategemeana na uwezo wa utengenezaji wa tuta lenye upana wa sita. Kwa kuwa kwenye jukwaa la JF lina fikra pevu na za kitalaamu wazo lako ni mjarabu kuzingatiwa.

Tukimaliza kuchangia vyema mawazo chanya tutahamia kujadili

1. Kigoma
2. Lindi
3.Singida

Asanteni sana
 
Sijasikia mkuu wa kaya akiimiza upandaji wa miti kwa wingi katika mikoa ya kati Tanzania, Wala sijasikia mkuu wa kaya akiwezesha matumizi ya nishati mbadala badala ya kukata kuni.

Upandaji wa miti ungesimamiwa na Mwanri the X Tbr RC
 
Minaomba chato ipewe uhuru wake liwe taifa Kama mataifa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…