Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Katika kitu kimenishinda Mazee ni Kununua Malaya au demu yoyote yule ambae anauza!! daah kwenye hili nimepata 0
 
Mimi huwa nawasifu vidume, tuna mioyo migumu sana. Mtu katoka kuchapwa na kukojolewa, huenda hata kujiswafi vizuri hakufanya, wewe unaenda na kuchomeka hapo hapo. Inahitaji courage moja matata sana.
Daah kwa kweli inahitaji Courage ya hali ya juu sana!
 
Mimi huwa nawasifu vidume, tuna mioyo migumu sana. Mtu katoka kuchapwa na kukojolewa, huenda hata kujiswafi vizuri hakufanya, wewe unaenda na kuchomeka hapo hapo. Inahitaji courage moja matata sana.
Changudoa huwa hakojolewi, unajikojolea mwenyewe unaondoka unamwacha kama ulivyo mkuta
 
Acha ujinga, serikali ikiwafukuza hawa watu unataka tuponee wapi? Utatupatia mkeo au[emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you can't fight, join them. Serikali imeshindwa kuwaonfoa hawa wanaotupa huduma hii adhimu ya tunda la mti wa katikati hivyo inabidi waamue kui legalize ili ICHUKUE kodi yake.

ILA KWANINI WANAONGEZEKA?
1. Ni kwamba ajira hakuna/au ile ndio njia rahisi ya kuyafikia malengo yao?

2. Wanaume wakuwasitiri hamna au wanawake waliotangulia kwenye NDOA wanaziba wenzao nao wasipate stara?

3. Mahitaji ni mengi ndio maana biashara inakua?

4.Kipi kinachoongeza mahitaji ni migogoro ndani ya ndoa au ni tamaa za wanaume?

5. Au wanaume wamekua wadhaifu kiasi kwamba wanashindwa kukidhi haja za wanawake hadi kufikia hatua ya kuamua kujiongeza?

6. Au wanawake wamekua na hamu (libido rate) kubwa kuliko wanaume?

7. Au wanaume huhisi ni rahisi kutoa shilingi kati ya 5000 - 200,000/- ni rahisi kuliko kumchukua mwanamke huyo huyo na kuishi naye ndani kama mke na mume?
 
Inatakiwa serikali iwaboreshee mazingira ya biashara zao. Mojawapo ni kujenga nyumba maalum.

Hi huduma inatuokoa jmn
 
Wanaosoma comment za watu bila kuchangia mada kama mimi gonga Like hapa[emoji23][emoji23]
 
Utaanzaje kuzuia kutu ambacho na ww unakitumia? Hao serikali unao sema wazuie nao baadhi yao pia ni wateja wao sasa watazuiaje?
 
ccm itakosa kura...wadada poa ni km 10% ya wanawake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…