Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

Mbona biashara haramu nyingi mkuu na hazijadhibitiwa iweje ukomalie wauza nyuchi tu? Au ndio haramu sana?
Hapo ulipo hujui wanapouza gongo? Kuna vijiwe vya gongo mtu unavijua tangu mtoto mpaka unakua mtu mzima bado vipo.
Sasa bora hiyo gongo. Biashara ya ukahaba huwezi kuikomesha kabisa hasa kwa hiz nchi za dunia ya tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kati ya makahaba 100 hawakosi 10 walioko TISS!?

Ujue tu kuwa nao wana umuhimu wao kwa taifa.
Ukiwapunguza sana, kuna taarifa nyingi zitakosekana pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya biashara kongwe duniani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Yale maeneo ya Oysterbay jirani na Maisha Club kulikuwa na kijiwe cha hao madada poa. Siku moja Mzungu mmoja alimchukua mdada poa lakini hakumlipa kama walivyoelewana! Yule dada alivunja kioo cha mbele cha gari ya yule Mzungu kwa chupa ya bia. Lile suala likapelekwa Polisi, mdada akawa anamhoji yule Mzungu kwa Kiingereza, askari polisi walibaki mdodmo wazi kuona mdada anaongea Kiingereza vizuri!
 
We Huoni wakati wa mikutano dom wadada wanatoka kila kona kwenda kuwinda huko wengine wanatokea mpk rwanda
Hii kitu ipo na itaendelea kuwepo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale maeneo ya Oysterbay jirani na Maisha Club kulikuwa na kijiwe cha hao madada poa. Siku moja Mzungu mmoja alimchukua mdada poa lakini hakumlipa kama walivyoelewana! Yule dada alivunja kioo cha mbele cha gari ya yule Mzungu kwa chupa ya bia. Lile suala likapelekwa Polisi, mdada akawa anamhoji yule Mzungu kwa Kiingereza, askari polisi walibaki mdodmo wazi kuona mdada anaongea Kiingereza vizuri!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda QBAR kna wadada wanatema ngeli, kifaransa hdi kispanyiolaaa
Kuna wakati fulani alikujaga mspain mmoja kwenye kusimama mradi fulani bongo
Sasa yule manager wa mradi nlikuwa namjuaa
Siku moja kwnye kilenge chetu akaniambia Ana mspain ila lugha shida.... Wapi naweza Pata mkalimani akamsaidiaaaa..... Jamaa akasema au niende vyuoni... Nkamwambiaaa ah issue ndg hyo
Nkapiga resi kadhaa QBAR kna Dada mmja nlimpata mwenyewe walikuwa wanamuita qeen of Sheba dah anatema kispain balaa
Ndy nkamconnect akala shavu ila cha ajabu licha ya kupata Hela ya ukali mani lkn yule dada alikuwa anaenda kama Kawa kudangaaa aiseee

Ova
Yale maeneo ya Oysterbay jirani na Maisha Club kulikuwa na kijiwe cha hao madada poa. Siku moja Mzungu mmoja alimchukua mdada poa lakini hakumlipa kama walivyoelewana! Yule dada alivunja kioo cha mbele cha gari ya yule Mzungu kwa chupa ya bia. Lile suala likapelekwa Polisi, mdada akawa anamhoji yule Mzungu kwa Kiingereza, askari polisi walibaki mdodmo wazi kuona mdada anaongea Kiingereza vizuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wateja watapimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watalipia kodi it means watakuwa wamerasimishwa kiasi ambacho wataweza kupata haki ya kulindwa... Sasa hapa pia itabidi tu na wateja wawe wanapimwa endapo tu watapewa eneo ambalo huduma ya upimaji itakuwa 24/7.

Moja kwa moja tutakuwa tumepunguza maambukizi mapya kwa asilimia kubwa sana, Nao pia watapata wateja kibao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom