carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Ukishasikia tunafuatilia/ bado tunafuatilia/ tunafanya uchunguzi........!!Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.
Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.
Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop
Chanzo : Jambo tv
In fact,Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.
Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.
Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop
Chanzo : Jambo tv
hakuna taarifa zozote za hiyo drama zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi,GenZ wa Nairobi, wao wanasemaje?
Unafikiri wale ni Mashoga kama nyinyi?GenZ wa Nairobi, wao wanasemaje?
watu wametengeneza drama halafu wanaogopa kwenda kuripoti kwenye mamlaka za kiusalama Kenya badala yake wanaripot X,FB,IG na JF,Ruto anazidi kujiharibia kisiasa,
rika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop
Chanzo : Jambo tv
In fact,
ripoti za awali kabisa za hiyo drama si ziliripotiwa kutoka kwa mtu alie Ubeligiji.
Sasa ni vizuri kufuatilia kuanzia huko ili kupata uhakika zaidi, kama hakuna taarifa zozote zilizoripotiwa kwenye mamlaka za kiusalama huko Machakosi 🐒
QmmmkIn fact,

Hao waliishaipata habari yao. Sasa hivi wametulia tulii!GenZ wa Nairobi, wao wanasemaje?
relax and calm down plz gentleman, ukweli unaumae?🐒Qmmmk
Janja Janja tu hiyo, wanajua kila kitu kilichotokea.Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.
Kwa mujibu wa BBC Swahili, ofisi hiyo imesema bado inafuatilia suala hilo, “Bado hatujapata taarifa kuhusu tukio hilo, hivyo tunalifuatilia.” imesema taarifa hiyo.
Chombo cha habari nchini cha Mwananchi kiliripoti kuwa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya kupitia Balozi Dkt. Bernard Kibesse alisema anafuatilia taarifa za madai hayo."Bado taarifa ya tukio hilo hatujazipata, hivyo tunafuatilia" Dkt. Kibesse aliiambia Mwananchi
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International Kenya lilieleza kuwa Mwaipaya anadaiwa kutekwa Jumapili ya April 25, 2026 huku 'watekaji' wakitumia magari matatu, likiwamo Toyota Land Cruiser Hardtop
Chanzo : Jambo tv
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?Ruto anazidi kujiharibia kisiasa,
Inasemakana alikuwa antunzwa na Hilda Newton ni vizuri pia Hilda atoe maelezo ya kutosha huko Kebyaukute ni mpango wa kuuzana . Hilda ukute amepiga dili la fedhaSerikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya.