Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 776
- 1,132
Kila jambo na wakati wake, kama wao ni chanzo basi mwisho wao utafika.Taratibu basi, maana huwa mkiambiwa ccm ni sheitwani hamuelewi🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila jambo na wakati wake, kama wao ni chanzo basi mwisho wao utafika.Taratibu basi, maana huwa mkiambiwa ccm ni sheitwani hamuelewi🙄
Wafanya Kazi wao si wana mapato rasmi...kwani sisi mkitupatia kazi serikalini tutakataa?..tupeni kazi mkate kodi hatuta nongwa mbona.wafanyakazi wote wa umma na sekta binafsi wanalipa kodi wanaponunua bidhaa lakini wanalipa kodi kwa kukatwa kwenye mishahara yao. Hii ilikuwa substandard, wafanyakazi wa umma walikuwa wakilipa kodi kuliko wananchi wengine mfano mkulima, mfugaji, mfanyabiashara nk
ukweli ni kwamba serikali haiwezi kuajiri wananchi wote, na tukumbuke hamna mfanyakazi wa umma au wa binafsi bilioneaWafanya Kazi wao si wana mapato rasmi...kwani sisi mkitupatia kazi serikalini tutakataa?..tupeni kazi mkate kodi hatuta nongwa mbona.
Na pia wana marupurupu mengi pamoja na fursa hata za kukopa...kila Bank au Microfinance kipaumbele chao ni Wafanya Kazi haswa wa Seriklali.
Sasa sisi Kajambanani ukifikiria kwa kuupata Mtaji kichwa kinataka kupasuka maana kila unapopeleka miguu wanakufurusha, hakuna Bank wala Taasisi ya fedha inakusikiliza, ukirudi Mtaani unaambie ucheze kamari upate mtaji.
Na hao Wakulima, Wafugaji, Wafanyabiashara n.k kwani wamekuwa hawalipi kodi?..ni kodi gani tena mnatamani wakatwe nje ya mfumo rasmi?.
Ni lichawi kwelikweli niamini. Nalijua vemaMAGUFULI alimtimua huyu jamaa afu akaja kumrejesha tena sijui kwanini, litakuwa zee la ndumba hili.
Kote ni hivyohivyo na unatakiwa kupeleka return kila mwezi halmashauri ili ulipie service levy bila hivyo mwakani hawakupi leseni, watakwambia lete mahesabu yako ya mwaka mzima ili tukate service levy yetu.Juzi Kati nimeenda ku-renew leseni ya biashara nimeandaa 52k niliyozoea, nafika naambiwa eti kuna upuuzi mwingine umeongezeka inaitwa service levy. Kwahiyo itakuwa jumla 77k (52+25 k)
Sijui ni national wide, sijui ni halmashauri yetu!!
Upuuzi!!!!
Kama hutaki, hamia Burundi! hamia Burundi! hamia Burundi!!!View attachment 2261264
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho wa Taifa (NIDA) unamtaka kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 au zaidi kujisajili NIDA, napendekeza kuwa wale wote wenye NIDA kwa sasa (wanaofikia milioni 19 nchi nzima) wapatiwe namba ya TIN na itumike kwenye miamala yote inayofanyika katika ununuzi na mauzo yanayofanyika ndani ya nchi"
"Kila mwenye namba ya mlipakodi atapata makadirio yake kwa njia ya simu na kulipa kodi husika kwa njia ya mtandao"
- @mwigulunchemba ,Waziri wa Fedha na Mipango
#BajetiKuu