Serikali: Kila mwanafunzi atatakiwa Kusoma somo la Maadili

Serikali: Kila mwanafunzi atatakiwa Kusoma somo la Maadili

Safi sana na ianzie Chekechea Hadi Chuo Kikuu na iwe compulsory bila kufaulu Hilo hakuna kuendelea na mengine
Kufaulu watafaulu vizuri tu.

Tuliosoma vyuo vya dini kuna somo linaitwa social ethics content zake ndio hayo maadili watu walifaulu vizuri tu lakin bado walitenda tofauti na vilivyofundishwa humo.

Maadili yanafundishwa na jamii
 
Kufaulu watafaulu vizuri tu.

Tuliosoma vyuo vya dini kuna somo linaitwa social ethics content zake ndio hayo maadili watu walifaulu vizuri tu lakin bado walitenda tofauti na vilivyofundishwa humo.

Maadili yanafundishwa na jamii
Japo tumepata pa kuanzia,hatua inayofuata ni wezi kuozea jela na kufilisiwa.
 
KWANZA NYIE HUKO JUU MJIANGALIE !JE MNA MAADILI

OVA
 
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9 leo Aprili 18, 2023.



Serikali yasisitiza wazee wapewe vitambulisho vya huduma ya afya bila malipo
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amewakumbusha viongozi wa Mikoa na Halmashauri kuwapatia vitambulisho vya matibabu bila malipo wazee wasio na uwezo ambao wana umri wa miaka 60 na kuendelea, kutenga dirisha kwa ajili ya Wazee na kuhakikisha dawa zote muhimu zinapatikana.

Kila mwanafunzi atatakiwa kusoma somo la maadili
Akijibu swali Bungeni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mohammed Mwinjuma maarufu kwa jina la Mwana FA, amesema “Kutakuwa na somo la maadili kwenye mitaala mipya na kila Mwanafunzi lazima atalazimika kulisoma."
Somo la Maadili wasomeshwe viongozi wa ccm na serikali , hao watoto wanasingiziwa tu
 
Ili hayo maadili yakae inabidi Singeli ipigwe marufuku,bongo flava hamasishi ya mapenzi ipigwe marufuku
 
Nchi hii mfumo wa elimu ni kama panya wa majaribio maabara.
 
Mwana FA anatuhakikishia yeye kama Nani kaaamka na Hangover zake ,anaacha kukemea wavaa vichupi bongo fleva upuuzi kweli
 
Watakuwa wanafundishwa maadili shuleni halafu wakirudi mtaani wanakutana na nyimbo za kina mondi Chomoa nijambe, jamii husika ndiyo inayofundisha maadili watoto sio shuleni.
Hivi kuna nyimbo ina mashairi ya hivyo? Halafu ipo tu? Huyu jamaa anaiharibu sana jamii!
 
eti somo la maadili, mfumo wenyewe wa maisha unapaswa kusetiwa kuanzia mitaani, shuleni mpaka majumbani.

kama huko uswahili tumeruhusu vigodoro, mambo ya hovyo kwenye mitandao, manyimbo yahovyo maredioni nk unafikiri hiyo elimu ya maadili itamsaidia nini mtoto.

Kama mtu anasoma lakwanza mpaka la saba na bado hajui kusoma au anafeli mitihani si hata hayo maadili atafeli tu...

TATIZO KUBWA LA TANZANIA NI UMASIKINI, KAYA NYINGI NI MASIKINI NA MATOKEO YAKE NI UJINGA ULIOTUKUKA, TUACHE SARAKASI TUBORESHE MAISHA YA WATU....
 
baada ya kufundisha watoto kutengeneza circuit za computer, simu na small electronics components, kufundisha watoto mapython, software development nk..

automatically watoto ukiwakeep busy kwa kupump vitu vya maana kwenye bongo zao, basi ubongo utakuwa busy kuchakata data za maana.

Huko shuleni tunafundisha watoto nadharia, walimu wao hatuwapi mishahara mizuri na posho, mashule yenyewe hayana miundo mbinu,,huko nyumbani mtoto kumejaa umasikini halafu unategemea mtu huyu awe na maadili mema.
 
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Serikali ina lengo la kuingiza somo la Maadili kwenye Mtaala wa Elimu ili kukabiliana na Changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.

Amesema hayo leo Aprili 18, 2023 Bungeni Dodoma alipokua akijibu swali la Mhe. Bahati Ndingo (Viti Maalum).

View attachment 2591913
Hawa wabunge ni wapumbavu sana. Wao kila siku wanakula viapo vya maadili na wanaiba kuwafundisha wqtoto some la maadili itasaidia nn? Wao wanafikiri maadili ni USHOGA TU?
 
Back
Top Bottom