Serikali: Kila mwanafunzi atatakiwa Kusoma somo la Maadili

Serikali: Kila mwanafunzi atatakiwa Kusoma somo la Maadili

Kufaulu watafaulu vizuri tu.

Tuliosoma vyuo vya dini kuna somo linaitwa social ethics content zake ndio hayo maadili watu walifaulu vizuri tu lakin bado walitenda tofauti na vilivyofundishwa humo.

Maadili yanafundishwa na jamii
Mtoto anafundishwa ubaya wa pombe akirudi nyumbani anatumwa pombe na baba?
 
Shida sana, mbona kuna Civics kwa sekondari,na kuna uraia na maadili kwa shule za msingi,sasa hili somo jipya la maadili ni somo gani!?? huku ni kuwaongezea mizigo watoto.

Nashauri kama ni topiki za somo hilo ziwekwe kwenye somo la civics na somo la uraia na maadili
 
Back
Top Bottom