Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Kufaulu watafaulu vizuri tu.Safi sana na ianzie Chekechea Hadi Chuo Kikuu na iwe compulsory bila kufaulu Hilo hakuna kuendelea na mengine
Japo tumepata pa kuanzia,hatua inayofuata ni wezi kuozea jela na kufilisiwa.Kufaulu watafaulu vizuri tu.
Tuliosoma vyuo vya dini kuna somo linaitwa social ethics content zake ndio hayo maadili watu walifaulu vizuri tu lakin bado walitenda tofauti na vilivyofundishwa humo.
Maadili yanafundishwa na jamii
Wew mjinga sana eti bila kufaulu😅😅Safi sana na ianzie Chekechea Hadi Chuo Kikuu na iwe compulsory bila kufaulu Hilo hakuna kuendelea na mengine
Mjinga ni wewe,ndio bila kufaulu uta carry miaka na miaka no chetiWew mjinga sana eti bila kufaulu😅😅
Itakuwa na afadhali kuliko kutowafundisha kabisa.Haitasaidia, mtoto atalelewa nyumbani, akija mtaani anakutana na wenzake wanamfundisha matusi.
Tembelea uswahili uone
Uraia na Maadili ipo tangu primary unataka nn Tena?Mjinga ni wewe,ndio bila kufaulu uta carry miaka na miaka no cheti
Ulisoma peke yako?Uraia na Maadili ipo tangu primary unataka nn Tena?
Hahaaa, itasaidia kidogo kidogo mabadiliko ya tabia.Haitasaidia, mtoto atalelewa nyumbani, akija mtaani anakutana na wenzake wanamfundisha matusi.
Tembelea uswahili uone
HahahahWatakuwa wanafundishwa maadili shuleni halafu wakirudi mtaani wanakutana na nyimbo za kina mondi Chomoa nijambe, jamii husika ndiyo inayofundisha maadili watoto sio shuleni.
Huna akili mpaka serikali ikushikie akiliUlisoma peke yako?
Somo la Maadili wasomeshwe viongozi wa ccm na serikali , hao watoto wanasingiziwa tuFuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9 leo Aprili 18, 2023.
Serikali yasisitiza wazee wapewe vitambulisho vya huduma ya afya bila malipo
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amewakumbusha viongozi wa Mikoa na Halmashauri kuwapatia vitambulisho vya matibabu bila malipo wazee wasio na uwezo ambao wana umri wa miaka 60 na kuendelea, kutenga dirisha kwa ajili ya Wazee na kuhakikisha dawa zote muhimu zinapatikana.
Kila mwanafunzi atatakiwa kusoma somo la maadili
Akijibu swali Bungeni kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mohammed Mwinjuma maarufu kwa jina la Mwana FA, amesema “Kutakuwa na somo la maadili kwenye mitaala mipya na kila Mwanafunzi lazima atalazimika kulisoma."
Hivi kuna nyimbo ina mashairi ya hivyo? Halafu ipo tu? Huyu jamaa anaiharibu sana jamii!Watakuwa wanafundishwa maadili shuleni halafu wakirudi mtaani wanakutana na nyimbo za kina mondi Chomoa nijambe, jamii husika ndiyo inayofundisha maadili watoto sio shuleni.
Hawa wabunge ni wapumbavu sana. Wao kila siku wanakula viapo vya maadili na wanaiba kuwafundisha wqtoto some la maadili itasaidia nn? Wao wanafikiri maadili ni USHOGA TU?Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Serikali ina lengo la kuingiza somo la Maadili kwenye Mtaala wa Elimu ili kukabiliana na Changamoto ya mmomonyoko wa maadili katika jamii.
Amesema hayo leo Aprili 18, 2023 Bungeni Dodoma alipokua akijibu swali la Mhe. Bahati Ndingo (Viti Maalum).
View attachment 2591913