Shida sana, mbona kuna Civics kwa sekondari,na kuna uraia na maadili kwa shule za msingi,sasa hili somo jipya la maadili ni somo gani!?? huku ni kuwaongezea mizigo watoto.
Nashauri kama ni topiki za somo hilo ziwekwe kwenye somo la civics na somo la uraia na maadili