Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
 
Hao walimu watalipwa ni nn? Au kwa akili zako unazani Kila mwaka watapata hizo fedha? Serikali haina hela kuwaajiri walimu wote hao, wengine muendelee tuu kulima mbogamboga
 
Sasa huo uboreshaji wa elimu Ni wa vipi bila kuongeza idadi ya walimu. Leo hii mwalimu mmoja anazunguka karibu madarasa yote. Elimu imeharibika kwa sababu mwalimu hawezi kuatend number kubwa hiyo ya wanafunzi milichobaki imekuwa usanii tu darasni.
 
Leo hii serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia serikali ianiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
wacha kuipangia serikali cha kufanya,
 
wanaishia kufanya haya
FB_IMG_16469336357019272.jpg
poor country
 
Hao walimu watalipwa ni nn? Au kwa akili zako unazani Kila mwaka watapata hizo fedha? Serikali haina hela kuwaajiri walimu wote hao, wengine muendelee tuu kulima mbogamboga
Ungelijua usingelisema hivi
 
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
watawala wengi wanaamini msomi na tajiri hawatawaliki, bali masikini na wajinga''
 
Walimu wanakufa wengine wanastaafu na madarasa yaneongezwa ikiwa ni kielelezo cha udahili kuongezeka,unfortunately enough namba ya walimu wanaotakiwa kuajiriwa,haiongezeki.

Kuna mambo ya kipunbavu sana hii nchi,na wanaotakiwa kuajiri hawaambiwi ukweli kisa wameambiwa wale ila wasivimbiwe.Bomu la kutokua na ajira lije lipasuke tu,ijulikane moja.
 
Hadi samia anaaaga ikulu 2030 hatakuwa ameajiri zaidi ya walimu 25,000 pamoja na watakaohitimu 2028!

Wewe uliyesoma ualimu jiongeze.
 
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Kwa taarifa yako serikali haina uwezo wa kuajiri kujaza nafasi zilizo wazi katika nafasi za utendaji. Kelele unazosikia za utajiri wa nchi hii ni za kisiasa tu. Ili kuondoa aibu serikali itaendelea kuajiri kuziba nafasi za wastaafu tu kwa sababu haina uwezo wa kulipa mishahara.
 
Ndo ukweli mchungu, serikali inanuka njaa hatari
 
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Mwaka 2015 April, serikali iliajiri walimu 46276,hivi JK hela zote alikuwa anazitoa wapi,,hii idadi Samia hawezi ifikia kwa miaka mi5 yote,,kwa viajira vya walimu elfu6 kila mwaka
 
Hebu tujaribu nina hakika tutaweza. Kila mwaka vijana wote wanaohitimu vyuo vikuu waliosomea ualimu waajiriwe wote kabisa alafu kuwe na mpango wa kuwaondoa walimu wasiokuwa na elimu ya chuo kikuu.

Baada ya miaka kumi tutakuwa na walimu wa kutosha tena wasomi. Hivi sasa tuna lundo la walimu.....Kuna lile kundi lililokuwa UDOM kozi maalumu lipo wapi?
 
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.

Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.

Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Una maana iwaajiri sasa hivi halafu hizo pesa zikiisha iwafukuze kazi? Au unadhani serikali itawalipa nini, mawe?
 
Back
Top Bottom