Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Sasa huo uboreshaji wa elimu Ni wa vipi bila kuongeza idadi ya walimu. Leo hii mwalimu mmoja anazunguka karibu madarasa yote. Elimu imeharibika kwa sababu mwalimu hawezi kuatend number kubwa hiyo ya wanafunzi milichobaki imekuwa usanii tu darasni.Hao walimu watalipwa ni nn? Au kwa akili zako unazani Kila mwaka watapata hizo fedha? Serikali haina hela kuwaajiri walimu wote hao, wengine muendelee tuu kulima mbogamboga
wacha kuipangia serikali cha kufanya,Leo hii serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia serikali ianiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Na hapo unakuta kuna hela zimetumika kufanikisha hilo..wanaishia kufanya hayaView attachment 2146090poor country
Ungelijua usingelisema hiviHao walimu watalipwa ni nn? Au kwa akili zako unazani Kila mwaka watapata hizo fedha? Serikali haina hela kuwaajiri walimu wote hao, wengine muendelee tuu kulima mbogamboga
watawala wengi wanaamini msomi na tajiri hawatawaliki, bali masikini na wajinga''Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Kwa taarifa yako serikali haina uwezo wa kuajiri kujaza nafasi zilizo wazi katika nafasi za utendaji. Kelele unazosikia za utajiri wa nchi hii ni za kisiasa tu. Ili kuondoa aibu serikali itaendelea kuajiri kuziba nafasi za wastaafu tu kwa sababu haina uwezo wa kulipa mishahara.Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Ndo ukweli mchungu, serikali inanuka njaa hatariKwa taarifa yako serikali haina uwezo wa kuajiri kujaza nafasi zilizo wazi katika nafasi za utendaji. Kelele unazosikia za utajiri wa nchi hii ni za kisiasa tu. Ili kuondoa aibu serikali itaendelea kuajiri kuziba nafasi za wastaafu tu kwa sababu haina uwezo wa kulipa mishahara.
Mwaka 2015 April, serikali iliajiri walimu 46276,hivi JK hela zote alikuwa anazitoa wapi,,hii idadi Samia hawezi ifikia kwa miaka mi5 yote,,kwa viajira vya walimu elfu6 kila mwakaLeo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
Una maana iwaajiri sasa hivi halafu hizo pesa zikiisha iwafukuze kazi? Au unadhani serikali itawalipa nini, mawe?Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.