Wewe kweli............ Huoni hats aibu kucoment, ngoja nikuulize ivi katibu mkuu na Waziri mkuu nani mwenye mamlaka, halafu huyo katibu mkuu ulimsikia wewe peke yako?
Pinda amezungumza akiwa katika shule ya sekondari Kiwere navyombo vya habari hususani magazeti ya Leo karibia yote yameandika iyo habari, wewe uyo katibu mkuu alikuwa akizungumzia wapi?
navyombo gani vya habari viliandika au alikwambia peke yako.Ndugu kabla ya kucoment uwe unafikiria sababu umetuonyesha ni jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo Wa kufikiri
Habar njema sana hii, kura nitawapa kabisa
Sehemu yenye uitaji wa walimu ni vijijini so ukipelekwa uko uturie uijenge Tanzania
wadau pinda kweli kasema source gazeti mwananchi 21/2/2015 ukurasa wa tano linunue usome mwenyewe
hivi walimu wa sec wanafika 35 elf?
hivi walimu wa sec wanafika 35 elf?
Sa hivi kila mtu atatabiri Yake bt Ajira zinatoka mwezi wa nne kuripoti mwezi wa tano,ni system fuatilia Ajira za miaka iliyopita zilikuwa ln
punguza kukariri mkuu...
Sa hivi kila mtu atatabiri Yake bt Ajira zinatoka mwezi wa nne kuripoti mwezi wa tano,ni system fuatilia Ajira za miaka iliyopita zilikuwa ln
mwakajana wameenda mzigoni mwezi wa nne sawa na mwaka juzi sasa huo mwezi wa tano umeutoa wapi
hao walimu wa kiswahili english, historia na jiografia kama wanejaa huko sekondari wawapeleke shule za msingi kusikitosha walimu.