Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

mwakajana wameenda mzigoni mwezi wa nne sawa na mwaka juzi sasa huo mwezi wa tano umeutoa wapi

Wa mwaka juzi Ajira zao zilitoka mwezi wa pili mwezi wa Tatu wakaripoti mwaka Jana Ajira zilitoka mwezi wa 3 wakaripoti mwezi wa nne sasa unadhani nini kinachofuata,mkuu kuwa na subira
 
Punguza kukariri mambo maswala ya kiserikali hayafai kukariri kihivyo
 
Jamani be informed kuwa ajira zinatoka muda wowote kuanzia siku ya leo
 
Hii nayo ya kupost,nani hajui kuwa ajira zitatoka siku yoyote,hiyo inajulikana toka watu walivyomaliza vyuo.Kisichojulikana ni siku gani.
 
Subir ziara ya Pinda iishe, leo niko hapa Airport ya Songwe naskia anapita bado anaendelea kuzindua maabara...
 
Una maanisha leo hadi jumatano, mbona hakuna tatizo hapo ngoja tusubiri tu.
 
Mh! Kama tunamsubiria yesu jamani,

Walimu tunatabu Sana ipo siku tutakubalika tuu.
 
kwa wale wa Bachelor mshahara ni TGTSD1 =630000 kabla ya makato. ongezeko la kutoka 589000 mwaka 2014. kazi kwenu walimu watarajiwa
 
WALIMU 35000 kuajiriwa kati ya hao
WALIMU 32000 Ni wamasomo ya Art
WALIMU 3000 Tu ni Wasayansi.....Bado CCM hawaoni Tatizo apo kwani ata mwaka jana ilikua hivyohivyo..Nabado wanalipwa sawa uku upatikanaji wao ni shida ata mzigi pia sisawa....Hivi kwa trend hii TANZANIA itakuja kupata wataalamu km madaktari, wahandisi, wataalamu wa kilimo na mafundi ktk nyanja za uhandisi wA ndege mabaharia na ktk sekta za Gas nk.......Na kati ya hao walimu 3200 wa Sayansi takwimu zinaonesha nusu au robo tatu ni waalimu waliokua wanajiendeleza.....
 
Kwa hiyo hawa wa shule za msingi inabidi wakalime vijijini.

Mana nao wapo zaidi ya elf20.

apo sasa mwenyewe sielewi flani ivi maana kasema walimu wa secondary sasa hao wa primary sijui itakuwaje
 
WALIMU 35000 kuajiriwa kati ya hao
WALIMU 32000 Ni wamasomo ya Art
WALIMU 3000 Tu ni Wasayansi.....Bado CCM hawaoni Tatizo apo kwani ata mwaka jana ilikua hivyohivyo..Nabado wanalipwa sawa uku upatikanaji wao ni shida ata mzigi pia sisawa....Hivi kwa trend hii TANZANIA itakuja kupata wataalamu km madaktari, wahandisi, wataalamu wa kilimo na mafundi ktk nyanja za uhandisi wA ndege mabaharia na ktk sekta za Gas nk.......Na kati ya hao walimu 3200 wa Sayansi takwimu zinaonesha nusu au robo tatu ni waalimu waliokua wanajiendeleza.....

kwa hiyo mkuu we unapenda walipwe zaidi ya wale wa sanaa wakati level ya elimu ni moja? maana kinachoangaliwa ni level ya elimu bila kujali sayansi au sanaa
 
Kwanza tupe data kuwa walimu wa sayansi 3000 ndio wataajiriwa mwaka huu.

Ninachojuaa pinda hakuweka categor bali alitaja kwa ujumlaa walimu 35000 wa sec wataajiriwa
 
Back
Top Bottom