Gospel KTV
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 343
- 493
Wizara ya Elimu kuna umuhimu pia wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board).
Kwamba kuwapngezea posho na mishahara kunahusianaje na kuwa au kutokuwa na leseni?.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu nchini (TTPC) imeanza maandalizi ya kuratibu na kutoa leseni rasmi za ufundishaji kwa walimu nchini.
Amesema hatua hiyo inalenga kuongeza thamani, heshima na nidhamu katika taaluma ya ualimu, huku ikihakikisha kuwa kila anayefundisha anatimiza vigezo vinavyotambulika kisheria.
Profesa Mkenda ameyasema hayo Bagamoyo mkoani Pwani, wakati akizungumza na watendaji wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), ambapo pia ameeleza kuhusu mabadiliko ya mitaala na utekelezaji wa Elimu ya Lazima nchini.
Soma >>> Wahitimu wa ualimu kuongezewa mwaka mmoja wa 'Intern' kabla ya kupata leseni ya kufundisha rasmi, kama ilivyo kwa madaktari
Kwa upande wao, Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt. Maulid Maulid, pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga wamesifu juhudi za Serikali katika kuwekeza kwenye mafunzo endelevu kwa walimu.
Wamesema mafunzo ya uongozi na utawala kwa walimu pamoja na wakuu wa shule yatasaidia kuongeza ufanisi katika usimamizi wa shule na hatimaye kuinua kiwango cha elimu nchini.
Nasikia inalipiwa 100k kila mwaka.....Walimu kazi wanayo makato kibao sasa inakuja ya bodi
Lini wanasiasa nao watapewa leseni maana wao ndiyo upanga kila kitu hapa nchini.Wanahitaji leseni pia akiboronga anyanganyweWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu nchini (TTPC) imeanza maandalizi ya kuratibu na kutoa leseni rasmi za ufundishaji kwa walimu nchini.
Amesema hatua hiyo inalenga kuongeza thamani, heshima na nidhamu katika taaluma ya ualimu, huku ikihakikisha kuwa kila anayefundisha anatimiza vigezo vinavyotambulika kisheria.
Profesa Mkenda ameyasema hayo Bagamoyo mkoani Pwani, wakati akizungumza na watendaji wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), ambapo pia ameeleza kuhusu mabadiliko ya mitaala na utekelezaji wa Elimu ya Lazima nchini.
Soma >>> Wahitimu wa ualimu kuongezewa mwaka mmoja wa 'Intern' kabla ya kupata leseni ya kufundisha rasmi, kama ilivyo kwa madaktari
Kwa upande wao, Mtendaji Mkuu wa ADEM, Dkt. Maulid Maulid, pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Shaibu Ndemanga wamesifu juhudi za Serikali katika kuwekeza kwenye mafunzo endelevu kwa walimu.
Wamesema mafunzo ya uongozi na utawala kwa walimu pamoja na wakuu wa shule yatasaidia kuongeza ufanisi katika usimamizi wa shule na hatimaye kuinua kiwango cha elimu nchini.
Bodi na Trade union havina uhusianoChama cha walimu kinaongozwa na walimu wenye elimu ndogo na release mdogo sana! Wizi pia mkubwa wa michango!
Bodi itawakomboa walimu na kuwapunguzia makato ya kila mwezi.
Imagine mwalimu mshahara ni 1,200,000 kwa mwezi anakatwa 2% kila mwezi hadi atakapo staafu.
Bora kulipa mara moja Tsh 120.000 kwa mwaka!
Yes ada ya kuhuisha leseni. Hapo sio chini ya laki Kwa mwaka!Pesa iyo.
Trade union ina wizi na ujanja wingi wa hovyo! Bodi ina mifumo na qualificationBodi na Trade union havina uhusiano
Kwani bodi ya walimu itachukua nafasi ya chama cha wafanyakazi?Chama cha walimu kinaongozwa na walimu wenye elimu ndogo na release mdogo sana! Wizi pia mkubwa wa michango!
Bodi itawakomboa walimu na kuwapunguzia makato ya kila mwezi.
Imagine mwalimu mshahara ni 1,200,000 kwa mwezi anakatwa 2% kila mwezi hadi atakapo staafu.
Bora kulipa mara moja Tsh 120.000 kwa mwaka!
Duuuh, kumbe kuna hadi sheria.Ni Sheria kwa kila mtumishi wa umma awe ni mwanachama wa chama kimojawapo cha wafanyaz
Sio lazima wewe kiazi.Kwani bodi ya walimu itachukua nafasi ya chama cha wafanyakazi?
Mbona hata madaktari na wafamasia wanabodi (wanalipia leseni) lakini pia wanakatwa hela ya chama cha wafanyakaz?
Ni Sheria kwa kila mtumishi wa umma awe ni mwanachama wa chama kimojawapo cha wafanyaz