Serikali kuanza kutoa Leseni za Ualimu kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu

Kwamba kuwapngezea posho na mishahara kunahusianaje na kuwa au kutokuwa na leseni?.
 
Lini wanasiasa nao watapewa leseni maana wao ndiyo upanga kila kitu hapa nchini.Wanahitaji leseni pia akiboronga anyanganywe
 
Na hizo leseni wasizipate mpaka wafanye mitihani.

Tena iwe migumu kweli kweli.

Ila anayefaulu mshahara wake uanzie 1,500,000 na iwekwe kwenye sheria
 
Bodi na Trade union havina uhusiano
 
Kwani bodi ya walimu itachukua nafasi ya chama cha wafanyakazi?

Mbona hata madaktari na wafamasia wanabodi (wanalipia leseni) lakini pia wanakatwa hela ya chama cha wafanyakaz?

Ni Sheria kwa kila mtumishi wa umma awe ni mwanachama wa chama kimojawapo cha wafanyaz
 
Serikali iheshimu mishahara ya watumishi, isigeuzwe mishahara kuwa chanzo cha mapato ya serikali.

Serikali za kijamaa zinanadi ujamaa na kujitegemea lakini hazitaki wananchi wake wawe matajiri, Sasa watajitegema vipi ?
 
Sio lazima wewe kiazi.

Aina ya wajinga kama wewe wenye CONFIDENCE kama yako ndio wamelifikisha hili taifa hapa lilipo.
 
Haya yalikuwa ni mawazo ya jiwe , hatimae yametimia
 
Ili mradi tu maskini waendelee kuumia

Kama nadhani hiyo leseni itatakiwa kulipia kila mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…