Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
kabisa !Sio mbaya umeme tunao wa kutosha haiwezekani watz wasiwe na umeme
Ni wapi huko? Toa taarifa TAKUKURU kwasababu hapo unapigwaMwambie tanesco wanauza nguzo hadi leo,kuna maeneo watu wameshindwa kuweka umeme wa shilingi 27000/=sababu wanaambiwa walipie nguzo moja hadi shilingi 330000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mama mmoja alifanya wiring miezi minne iliyopita mpaka Leo anasumbuliwa kuingiziwa umeme.Mama wa watu kauza mboga mboga watu wakajitolea kumfanyia wiring baada ya yeye kununua Vifaa,lakini mpaka Leo yupo gizani.anajutia sana hela YakeHayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Kweli kabisa, kijiji cha mwaholo,kata ya Kanyelele,tarafa ya usagala,wilaya ya Misungwi,mkoani Mwanza wamewekea umeme watu 22 tu wengine eti ili wafikishiwe hadi waliopie nguzo.Zaidi ya wananchi 90+ wanahitaji umeme lakini gharama za nguzo zimewashindwa.Transformer yote wateja 22 tu,hii ni matumizi mabaya ya Transformer.Mwambie tanesco wanauza nguzo hadi leo,kuna maeneo watu wameshindwa kuweka umeme wa shilingi 27000/=sababu wanaambiwa walipie nguzo moja hadi shilingi 330000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Takukuru hao wenyewe njaa tu,binafsi siyo mimi mhitaji lakini kuna jamaa zangu wako na hiyo shida toka mwez june na sasa tumebakiza siku 8 mwaka uishe.
Hata najua basi ? ni kiherehere changu tu cha kumnukuu waziri , kwani mabavu ni nini ?Wee mwanaharakati mwitu, unaelewa maana ya mabavu kweli?
😎😎
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Hata najua basi ? ni kiherehere changu tu cha kumnukuu waziri , kwani mabavu ni nini ?
Ajabu kabisa
Bill za umeme mtawalipia? Au mtakuwa mkienda vijijini kuuza rasilimali zao kila mwezi ili kulipia bill?
Kamanda ipo siku utapiga magoti.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Mwambie tanesco wanauza nguzo hadi leo,kuna maeneo watu wameshindwa kuweka umeme wa shilingi 27000/=sababu wanaambiwa walipie nguzo moja hadi shilingi 330000/=
Sent using Jamii Forums mobile app