Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
Watakula huo umeme ili waishi.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .