Watakula huo umeme ili waishi.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Ukweli ndiyo huo, nguzo bado zinauzwa. Ingawa hawaandiki nguzo lakini bei ya kuweka umeme inakuwa kubwa sana kulingana na idadi ya tofauti na maelekezo ya viongozi wetu ambaya yapo wazi kabisaLeo hii nimelipa 696,700 kama gharama ya nguzo 2 na service line. nilimuuliza mfanyakazi wa Tanesco mbona Waziri amesema nguzo ni bure? akanijibu ni matamko tu ya kisiasa hayo!
Gharama za kulipia REA ni TSH 27,000 . Hapo ni sawa changamoto inayokuja kwa wananchi wa kipato Cha chini ni gharama zifuatazo.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Wapiga polishi na wachoma mishikaki wakinyimwa fursa ni shidaAjabu kabisa
Bill za umeme mtawalipia? Au mtakuwa mkienda vijijini kuuza rasilimali zao kila mwezi ili kulipia bill?
Da Mimi nashindwa kuelewa mbona sehem zingine hata ukitaka ripia unaambiwa subilia sijui reya ya ngapiHayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo ambayo ni Tsh 27, 000/= kwa kisingizio chochote kile.
Mh Waziri amedai serikali inafikiria kuwawekea umeme watu wote kwa gharama hata ya kuuza mifugo yao au sehemu ya mashamba yao ili kufidia .
Kabisa. Hiyo ndiyo changamoto kubwa iliyopoMwambie tanesco wanauza nguzo hadi leo,kuna maeneo watu wameshindwa kuweka umeme wa shilingi 27000/=sababu wanaambiwa walipie nguzo moja hadi shilingi 330000/=
Hata huku Morogoro mjiniNi wapi huko? Toa taarifa TAKUKURU kwasababu hapo unapigwa
Gharama zipo juu sanaUkiuziwa dai risiti ya nguzo. TANESCO wanacharge umbali na sio nguzo.
siyo elfu 27 tena ?Gharama zipo juu sana