🤣🤣🤣Ufu 13:17 SUV
Tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Chai,Mpango huu utawezesha kila mtu kuwa na namba ya utambulisho wa kipekee kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi tangu kuzaliwa hadi mwisho wa maisha ya mtu hapa duniani.