D___________Loy
Senior Member
- Jan 21, 2020
- 168
- 146
Inasikitisha sana. R.I.P Watoto wazuri jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayapata yote, humu na mitandao mingine, kuna watu wana kazi zao kukusanya yote reymage humsikiagi anasema mambo yanayotoka mitandaoni? Hata yasipomfikia yeye hao wawakilishi wake. Nimesikitika sana, ndoto za watoto zinakatishwa kinyama tu.Anakusikia sasaaa
Inauma sana watoto ndio wanahangaikia future yao inaishia njiani namna hii imagine uwe mmoja wa wazazi wa hao watoto.Nimeumiaaa Mimi baasi tuu
We Acha tuNimeumiaaa ndio wanachoweza mbunge wao amelaaniwa yeye watoto wake wako dar Wanaishi pazuri habari hawapati na ukute Hawakujui hukooo
2025 hao wazazi km wachawi...na Wanavijiji Wanampa uraaa
Rest easy champs
Unaambiwa hata yule mzee aliyekua anaendesha huo mtumbwi nayeye ameponea chupu chupu kurudisha VisaKugharamia tu mazishi yao, bado hakuwezi kuwaondolea majonzi wazazi waliopoteza watoto wao katika mazingira kama hayo.
Kujenga daraja mdiyo sulujisho pekee. Kama watashindwa kujenga daraja la kudumu, basi wangejenga hata lile daraja la kamba. Hiyo mitumbwi siyo salama hata kidogo kwa usafiri wa majini.
Sijakupata mkuuSorry Mkuu ,Hivi Champs kwa miaka yake 6 hakulijenga au limeibuka 18 March 2021?
Kipaumbele ni kukopesha wasanii na kugawa milioni tano kwa kila goli,
Daraja na kivuko salama tunasubiri bajeti
My poor country
but who is fair? No one even us
RIP to the souls that left because of selfishness,
but who is not selfish?
Serikali inayojua kuwapumzisha wananchi wake waliopoteza uhai kwa kutokuwajibika kwake. Wakiwa Hai, haina mpango nao!
Serikali imesema itasasimamia na kugharamia taratibu zote za mazishi ya Wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Kagera iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji waliofariki kwa kuzama kwenye Mto baada ya mtumbwi kupinduka wakati wakielekea Shule.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema hayo baada kufika kaika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni kuaga miili ya Wanafunzi wawili waliopatikana leo kadokando ya Mto huo unaomwaga maji katika Ziwa Tanganyika.
"Kwa niaba ya Serikali ya awamu ya sita naomba niwafikishie salamu za pole kwa msiba mkubwa uliozikumba Familia hizi, tumepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa na tunaungana na Familia pamoja na Ndugu katika masikitiko haya makubwa tunajua hakuna mwenye uwezo wa kurejesha uhai uliotoweka ila tunaomba tuungane kwenye huzuni hii"
"Na serikali kwa upande wake itajitahidi kila inavyoweza ili kuwapumzisha kwa heshima Watoto wetu hawa ambao wamefariki, tutafanya tunavyoweza kuungana na Familia kuhudumia msiba ili tuweze kuwapumzisha wapendwa wetu vizuri, Serikali itaondoa changamoto hiyo kwa kutengeneza Daraja katika Mto huo"
Miili miwili iliyopatikana leo ya Wanafunzi hao ni mwili wa Tatu Sanaari na Ramadhani Nkwila(12) wa darasa la tano na wote wanazikwa leo, miili ambayo haijapatikana hadi sasa ni ya Watoto wawili Ashura Haruna wa darasa la kwanza na Zabibu, juhudi za utafutaji zinaendelea kufanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Kigoma.
Pia soma: Kigoma: Wanafunzi 4 wazama mto Luiche wakivuka kwenda shule. Miili 2 yapatikana kati ya watoto 4 waliozama
Huzuni sana hii nchi inaumiza mnoo jamaniiAnayapata yote, humu na mitandao mingine, kuna watu wana kazi zao kukusanya yote reymage humsikiagi anasema mambo yanayotoka mitandaoni? Hata yasipomfikia yeye hao wawakilishi wake. Nimesikitika sana, ndoto za watoto zinakatishwa kinyama tu.
Yaani Tena wanakuambia tunaipenda hatutaki vita daahh .We Acha tu
Watakwambia ccm imewatoa mbaliii.... (kauli wanazotumia kijijini za kupinga upinzani)
Ndiyo furaha ya serikali kujitokeza kwenye maafa na kupewa shukurani wakati hiyo ajali ingezuiwa in advance kwa kuweka miundombinu rafiki ya kuvuka mtoSerikali imesema itasasimamia na kugharamia taratibu zote za mazishi ya Wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Kagera iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji waliofariki kwa kuzama kwenye Mto baada ya mtumbwi kupinduka wakati wakielekea Shule.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema hayo baada kufika kaika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma ya Maweni kuaga miili ya Wanafunzi wawili waliopatikana leo kadokando ya Mto huo unaomwaga maji katika Ziwa Tanganyika.