Serikali kugharamia mazishi ya wanafunzi waliofia mto Luiche wakivuka kwenda shule

Serikali kugharamia mazishi ya wanafunzi waliofia mto Luiche wakivuka kwenda shule

Ndiyo furaha ya serikali kujitokeza kwenye maafa na kupewa shukurani wakati hiyo ajali ingezuiwa in advance kwa kuweka miundombinu rafiki ya kuvuka mto

Tazama wenzetu
View attachment 2529855
Did a train station in Japan stay open for one student?

The Kami-Shirataki train station is located in Japan's north island of Hokkaido, three years ago due to its remote location and ending of freight trains, the Japan Railway (JR) decided to close it down. However, they changed their minds after they discovered a young girl used the station to go to high school every day.

Japan. Raia mmoja, mtoto wa kike, ni muhimu kupata huduma ya usafiri. Kwetu Tz, maelfu wanasumbuka, serikali haina habari, mpaka maafa yawapate, wanagharamia mazishi, tatizo linaachwa liendelee!
 
Wekeni daraja sio mnagharamia mazishi hakuna ambaye asingezikwa
 
Back
Top Bottom